Dodoma FM

mtandao

12 December 2025, 8:16 pm

Umuhimu wa klinik ya mtoto wakati wote

picha kwa msaada wa AI Na mwandishi wetu Evanda Barnaba Kuhudhuria maadhurio ya kliniki ya mtoto ni jambo la muhimu sana kwa mzazi, kwani ni fursa ya kipekee ya kufuatilia maendeleo ya afya ya mtoto wako. Kliniki inatoa nafasi ya…

8 December 2025, 09:06

Vyombo vya ukamataji na upelelezi vyaaswa kufanya kazi kwa weledi

Vyombo vya ukamataji na upelelezi mkoani Kigoma, vimetakiwa kutotumia vibaya madaraka badala yake vifuate kanuni za ukamataji na kuhakikisha kwamba suala la upelelezi na uchunguzi wa mashauri linafanyika kwa uadilifu weledi na uwajibikaji wa hali ya juu ili kuepuka kuharibu…

20 November 2025, 6:07 pm

Wivu wa mapenzi wasababisha wanandoa kuuana

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawasihi wananchi kutatua migogoro mapema ili kuepusha madhara yanayoweza kuzuilika. Na Mrisho Sadick: Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Maria Salvatory mkazi wa Kitongoji cha Bugoma Kijiji cha Kilombero Kata ya Lwamgasa Wilaya ya Geita…

20 October 2025, 6:05 pm

Jeshi la Polisi lasema Geita kapigeni kura hakuna wakuwagusa

Wakati zikiwa zimesalia siku nane kuelekea katika uchaguzi mkuu Oktoba 29,2025 jeshi la polisi Geita lawatoa hofu wananchi. Na Mrisho Sadick: Jeshi la Polisi Mkoani Geita limewahakikishia Wananchi wa Mkoa huo usalama wa kutosha wakati na baada ya uchaguzi mkuu…

13 October 2025, 21:56

TAKUKURU watoa mashine hospitali ya rufaa Mbeya

Katika juhudi za kuunga mkono Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya Afya TAKUKURU waguzwa na watoto njiti. Na Ezra Mwilwa Taasisi ya kupambana na kuzuia Rushwa(TAKUKURU) mkoa wa Mbeya imekabidhi mashine…

12 October 2025, 17:41

Rufaa Mbeya yazindua kliniki afya ya akili

Katika kuendelea kusogeza huduma kwa jamii, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya imezindua Kliniki maalumu ya Ustawi na Utimamu wa Afya ya Akili kwa watoa huduma wa Afya Nyanda za Juu Kusini. Na Lukia Chasanika Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kliniki hiyo Mkurgenzi Mtendaji wa Hospitali ya…

16 September 2025, 07:26

Helen Keller kutoa matibabu ya macho Songwe

Kutokana na kuwepo wa gharama kubwa katika matibabu ya macho, shirika la Helen Keller International limejitoa kusaidia watu wenye tatizo la macho mkoani Songwe. Na Ezekiel Kamanga Katika hatua muhimu ya kupunguza upofu unaepukika, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya…

15 September 2025, 10:00 am

Jeshi la polisi Geita lapokea magari mapya 15

Upatikanaji wa magari hayo ni juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha mazingira ya kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama nchini. Na Mrisho Sadick: Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limepokea  magari 15 mapya kwa lengo la…

29 August 2025, 19:44

Wanafunzi vyuoni wahimizwa kupima Afya zao

kutokana nauwepo wa magonjwa mbalimbli yakuambukiza na yasiyo yakuambukiza vijana wamehimizwa kwenda kufanya vipimo vya Afya zao Na Ezra Mwilwa Wanafunzi waliopo vyuoni wahimizwa kuto kujihusisha na vitendo viovu vinavyo weza kuwasababishia kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI Wito huo…