Dodoma FM
Dodoma FM
5 July 2025, 4:35 pm
Picha ya wananchi walionufaika wa mkopo wa asilimia 10. Picha na Samwel Mbugi “Tunamshukuru Rais Samia kwa kuweza kutuona sisi vijana” Na Samwel Mbugi Baadhi ya wananchi manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi ambao ni wanufaika wa mkopo wa asilimia…
July 4, 2025, 5:51 pm
”Mgombea yeyote aliyechukua na kurejesha fomu endapo ataendelea kufanya mambo nje ya utaratibu kwa kukushanya watu hususan wale wajumbe watakaoshiriki kura za maoni atakuwa amekiuka kanuni” Mlolwa Na Sebastian Mnakaya Zaidi ya wanachama 100 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani…
3 July 2025, 16:06
Ili kupandisha ufaulu kwa wanafunzi, Walimu na Maafisa elimu wameshauri kuffuatilia nakufanya tathimini kwa wanafunzi waliofanya vibaya mitihani yao. Na Emmanuel Kamangu Maafisa elimu kata na walimu wakuu wa shule za msingi Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wametakiwa kufanya tathmini…
20 May 2025, 4:17 pm
Mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri imezua kizaa zaa baada ya baadhi ya watu kukosa katika halmashauri ya manispaa ya Geita. Na: Kale Chongela: Baadhi ya wananchi kata ya kalangalala, halmashauri ya manispaa ya Geita wamelalamikia kitendo cha kukosa…
March 28, 2025, 4:52 pm
”Utaratibu wa sasa katika kura za maoni CCM, wajumbe wameongezeka ili kuweza kupata viongozi wanaokubalika kwa wananchi” Na Sebastian Mnakaya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewataka wanachama wa chama hicho wanapoelekea katika uchaguzi mkuu unaotarajia…
21 March 2025, 7:07 am
Matukio ya ubakaji wilayani Sengerema yanazidi kushamiri ambapo taarifa inayozungumzwa ni ya mtoto mwenye umri wa miaka 10 anayedaiwa kubakwa na watu wawili kwa nyakati tofauti. Na,Emmanuel Twimanye Jeshi la Polisi Wilayani Sengerema mkoani Mwanza linawashikilia watu wawili akiwemo mwalimu…
14 March 2025, 8:02 pm
Matukio ya ubakaji nchini yanazidi kushika kasi ambapo mzee mmoja mwenye umri wa miaka 56 amehukumiwa miaka 30 kwa kosa la kumbaka mjukuu wake wa miaka 13, baada ya mke wake kusafiri. Na,Emmanuel Twimanye Mahakama ya Wilaya Sengerema Mkoani Mwanza…
14 March 2025, 13:19 pm
Hii ni katika kuwaunganisha wasikilizaji na wadau wa redio ambao wamekuwa wakisikiliza na kuchangia mada mbalimbali katika vipindi vya Jamii FM redio Na Musa Mtepa Kituo cha Redio cha Jamii FM Mtwara kimetoa tuzo kwa Musa Ali Chituta kutoka kijiji…
6 March 2025, 4:23 pm
Kufuatia kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu katika mtaa wa Nyamakale uliopo kata ya Nyankumbu katika halmashauri ya manispaa ya Geita, wananchi wawatupia lawama viongozi wa mtaa. Na: Kale Chongela – Geita Wakazi wa mtaa wa Nyamakale, kata ya Nyankumbu halmashauri…
4 March 2025, 8:41 pm
Bibi amfanyia ukatili mjukuu wake kwa kumumwagia chai ya moto sehemu mbalimbali za mwili wake baada ya kuchelewa kurudi nyumbani kutoka sokoni alikokuwa amemuagiza kwenda kuuza sambusa. Na Emmanuel Twimanye Mtoto mwenye umri wa miaka 14 katika Mtaa wa Misheni Wilayani…