Dodoma FM

Maoni

27 November 2025, 4:28 pm

Bodaboda marufuku kucheza kamari vijiweni Geita

Msako wa vijana ambao wanakaa kwenye vijiwe vya Bodaboda bila kazi kuanza Manispaa ya Geita Mkoani Geita Na Kale Chongela: Umoja wa waendesha Bodaboda Mkoa wa Geita umepiga marufuku baadhi ya waendesha pikipiki ambao kwasasa hawana vyombo hivyo kukaa kwenye…

18 November 2025, 12:02 pm

Kikao cha moto kati ya Jeshi la polisi na Bodaboda Geita

Jeshi la polisi limewataka waendesha Bodaboda mkoani Geita kuepukana na matukio yanayoweza kuhatarisha usalama wa maisha yao. Na Edga Rwenduru: Jeshi la polisi mkoani Geita limetoa maelekezo kwa umoja wa waendesha pikipiki mkoa wa Geita kuhakikisha wanasimamia  sheria ndogo ndogo…

26 August 2025, 4:45 pm

Bodaboda Geita wafunguka serikali kuwaondolea kodi

Msamaha wa kodi kwa waendesha au wamiliki pikipiki zinazotumiwa kibiashara maarufu kama bodaboda ambapo awali walikua wakilipa shilingi 65,000 kwa mwaka kwasasa hawalipi chochote. Na Edga Rwenduru: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Geita imesema mabadiliko ya sheria za…

17 August 2025, 8:02 pm

Serikali yawajengea ofisi Bodaboda Geita

Wamekabidhiwa ofisi hiyo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Geita Yefred Myenzi kwa ajili ya kuanza kuitumia rasmi katika shughuli zao. Na Kale Chongela: Umoja wa Madereva Bodaboda Mkoa wa Geita (UMABOGE) wameipongeza serikali kwa kuwajengea ofisi mpya iliyopo katika viwanja…

15 August 2025, 16:28 pm

Wanahabari watakiwa kuzingatia weledi uchaguzi mkuu

Mafunzo kwa waandishi wa Jamii FM Redio yamewahimiza kuzingatia weledi, usalama kazini na kujikinga na uhalifu mtandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 Na Musa Mtepa Waandishi wa habari wametakiwa kuwa makini na kuzingatia weledi wa taaluma yao, hususan…

14 July 2025, 2:29 pm

Mbukwa: Wanaume acheni kutelekeza familia kisa migogoro

Mkuu wa Dawati la Jinsia Katavi Judith Mbukwa. Picha na Anna Mhina “Mazingira yenyewe ya ndani yanasababisha kukimbia familia” Na Leah Kamala Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamesema kuwa hali ngumu ya kimaisha na changamoto ya…

9 July 2025, 09:51

Wananchi wapewa elimu kujikinga na majanga ya moto Kigoma

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Kigma limewataka wananchi kuendelea kuchukua hatua za kukabiliana na majanga ya moto ambayo yanaweza kujitokeza katika maeneo yao. Na Esperance Ramadhan Baadhi ya Wananchi Mkoani Kigoma wamepatiwa elimu ya kuzima moto pindi linapotokea tatizo…