Dodoma FM
Dodoma FM
15 December 2025, 4:02 pm
Na Mary Julius. Mtandao wa Jumuiya za Wasaidizi wa Sheria Zanzibar, ZAPONET, umeanzishwa kwa lengo la kuzijengea uwezo taasisi zinazotoa huduma za msaada wa kisheria Unguja na Pemba ili ziweze kujisimamia na kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi. Akizungumza wakati wa…
12 December 2025, 12:12 pm
Vipaumbele vikubwa vya fedha hizo za CSR ni huduma za Afya kwakuwa kata hizo zina ongezeko kubwa la watu kutokana na shughuli za uchimbaji wa madini. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa Kata nne za Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani…
8 December 2025, 8:49 pm
Kauli mbiu ya Mahakama ya Tanzania Kanda ya Iringa inasema siku zote ni uadilifu ueledi na uwajibikaji. Na Joyce Buganda Ikiwa tupo katika wiki ya maadhimisho ya miaka 20 ya mahakama Kuu Tanzania kanda ya Iringa, Wananchi Mkoani Hapa wametakiwa…
5 December 2025, 2:25 pm
Changamoto zilizokuwa kikwazo mwaka Jana ikiwemo wazazi kuwalazimisha watoto kufeli, ukosefu wa chakula shuleni pamoja na baadhi ya wadau kutowajibika ipasavyo. Na Mrisho Sadick: Ufaulu wa mtihani wa darasa la saba katika Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita umeongezeka kutoka asilimia…
5 December 2025, 2:03 pm
Hakuna madhara ya kibinadamu kwakuwa jitihada kubwa zilifanyika kuuzima moto huo kwa kushirikiana na majirani. Kale Chongela: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vitu vya ndani katika chumba cha Bw. David Pankras, mkazi wa Mtaa wa Nyantorotoro A Kata ya…
3 December 2025, 7:18 pm
Mradi huo utatekelezwa kwa miaka miwili, utatoa huduma ya upimaji, utoaji wa bima za Afya kwa watoto zaidi ya 300 ambao hawana uwezo wa kumudu matibabu. Na Mrisho Sadick: Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kuimarisha mapambano dhidi ya…
2 December 2025, 4:29 pm
Kupitia mapato ya ndani ya halmashauri ya jiji la Dodoma, serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu ikiwemo kujenga matundu ya vyoo, madarasa na maabara, lengo ni kuwapatia wanafunzi mazingira salama wezeshi ya kujifunzia. Na Lilian Leopold. Timu ya Menejimenti ya…
1 December 2025, 2:14 pm
Changamoto mbalimbali zinazokabili chuo hicho ikiwemo ukosefu wa uzio unaohatarisha mali za chuo, upungufu wa zana za kisasa za mafunzo. Na Mrisho Sadick: Taasisi za serikali na zile za binafsi wilayani Geita zimetakiwa kuwapa kipaumbele vijana waliohitimu mafunzo ya Ufundi…
1 December 2025, 1:40 pm
Mtandao huo umefanikisha ujenzi wa vyoo katika shule ya sekondari Kasamwa ikiwemo chumba maalumu kwa ajili ya wasichana watakapokuwa wakati wa hedhi. Na Mrisho Sadick: Mtandao wa marafiki wa elimu Kanda ya Ziwa umetoa msaada wa chakula kwenye kituo cha…
30 November 2025, 2:35 pm
Iwapo wananchi hawatachukua hatua za haraka za kujitokeza kufanya uchunguzi wa magonjwa yasioambukiza yanaweza kuleta madhara makubwa ikiwemo figo kufeli. Na Mrisho Sadick: Chama cha ugonjwa wa kisukari Tanzania kwa kushirikiana na ofisi ya mganga mkuu wa mkoa wa Geita…