elimu
21 September 2021, 12:08 pm
Wazazi wametakiwa kuwapa mafunzo ya ziada wahitimu wa darasa la saba ili kuwaepu…
Na ; Thadei Tesha. Wazazi jijini hapa wameshauriwa kuhakikisha wanawasaidia watoto wao waliohitimu darasa la saba katika kuwawezesha kupata mafunzo mbalimbali katika kipindi hiki wanachosubiri matokeo ili kupunguza vitendo vya ukatili na watoto kuharibikiwa kimaadili katika jamii. Akizungumzia athari ambazo…
7 September 2021, 2:19 pm
Vijana nchini wametakiwa kufuatilia matangazo ya kujiunga na vyuo mbalimbali ili…
Na; Selemani Kodima . Vijana nchini wametakiwa kufuatialia kwa makini matangazo yanayotolewa na ofisi ya Waziri mkuu hususani ya kujiunga na vyuo mbalimbali ilikuongeza ujuzi. Hayo yamesemwa na mwakilishi wa vijana bungeni pamoja na mwakilishi wa watu wenye mahitaji maalumu…
19 August 2021, 1:21 pm
Serikali yaombwa kutoa elimu dhidi ya vitendo vya ukatili wa jinsia kwa jamii
Na; Benard Filbert. Baadhi ya wakazi Jijini Dodoma wameiomba Serikali kuhakikisha wanatoa elimu katika jamii kuhusu vitendo vya ukatili wa kijinsia na ubakaji ili kusaidia kukomesha tatizo hilo. Wamesema hayo wakati wakizungumza na taswira ya habari wakati wakielezea nini kifanyike…
29 July 2021, 10:05 am
Serikali imetakiwa kuwakea mazingira mazuri ya kujinzia wanafunzi wenye ulemavu…
Na;Mariam Matundu . Ili kuondoa changamoto za kujifunza kwa wanafunzi Viziwi imeshauriwa kuwekewa mazingira mazuri ya kujifunzia ikiwemo kutungiwa mitihani yao maalumu katika baadhi ya masomo tofauti na wanafunzi wasio viziwi . Hayo yameelezwa na mwalimu wa somo la Kiswahili…
26 July 2021, 10:48 am
Ukosefu wa shule ya sekondari katika kata ya KK wapelekea wanafunzi kutembea umb…
Na; Benard Filbert. Ukosefu wa shule ya sekondari katika kata ya KK imetajwa kuwa changamoto kwa wanafunzi wa kata hiyo hali inayowalazimu kutembea umbali wa kilomita 7 hadi kata ya BUSI kwa ajili ya masomo. Hayo yameelezwa na wakazi wa…
1 July 2021, 12:48 pm
Mwitikio mdogo wa Elimu katika kata ya Farkwa wapelekea wanafunzi kushindwa kuji…
Na; Victor Chigwada. Mwitikio mdogo wa elimu katika kata ya Farkwa Wilayani Chemba ni changamoto inayopelekea wanafunzi kushindwa kujiunga na masomo ya sekondari kwa shinikizo la wazazi. Baadhi ya wazazi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema ni kweli suala…
26 June 2021, 3:07 pm
Mkutano wa wadau kuchangia maoni uboreshaji wa mitaala ya elimu Nchini wafanyika…
Na,Mindi Joseph . Serikali imesmea ni vyema kusitisha mabadiliko yoyote kwenye mitaala ya Ngazi ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari iliyopo sasa Nchini mpaka mchakato wa wadau kuchangia maoni ili kuwa na Mtaala ambao ni shirikishi na jumuishi utakapokamilika.…
25 June 2021, 1:13 pm
Wizara ya Elimu Tanzania kupitia taasisi ya (TET) yaandaa mkutano wa kupokea ma…
Na; Rabiamen Shoo. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imeandaa mkutano wa kupokea maoni kutoka kwa wadau wa elimu kuhusu uboreshwaji wa Mitaala ya Ngazi ya Elimu ya Awali,Msingi na Sekondari. Mkutano huo unatarajiwa…
24 June 2021, 10:53 am
Mlowa bwawani yatarajia kutoa elimu kwa wananchi wake juu ya kujikinga na virusi…
Na; Benard Filbert. Uongozi wa kata ya Mlowa bwawani hii leo unataraji kukutana na wananchi wa eneo hilo ili kuwapatia elimu pamoja na kuwahimizi kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vinavyo sababisha homa ya mapafu. Hayo yameelezwa na diwani wa kata…
8 June 2021, 10:35 am
Malalamiko ya uchaguzi wa tahasusi kwa wanafunzi wa kidato cha tano ni upotoshaj…
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa malalamiko mengi yanayotolewa na wananchi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uchaguzi wa tahasusi kwa wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu ni ya upotoshaji . Hayo yameelezwa hii leo na waratibu wasaidizi wa zoezi la…