Dodoma FM

elimu

17 February 2021, 1:31 pm

80 wakosa masomo Chamwino kwa uhaba wa madarasa

Na, Benard Filbert, Dodoma. Zaidi ya wanafunzi 80 wa kidato cha kwanza mwaka 2021 wameshindwa kuripoti shuleni, kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa uliyopo katika shule ya Sekondari Membe Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma. Hayo yameelezwa na Diwani wa…

4 February 2021, 12:59 pm

Waziri Mkuu:Wekeni mipango ya kudumu ujenzi wa miundombinu ya shule

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Serikali imeziagiza Halmashauri zote nchini kuwa na mpango wa kudumu unaosimamia ujenzi wa miundombinu katika shule zote, ili kuepuka upungufu wa madarasa unaokwamisha baadhi ya wanafunzi kushindwa kuanza kidato cha kwanza . Akizungumza Bungeni hii leo katika…

20 January 2021, 1:23 pm

Kambi za kitaaluma zachochea ufaulu Bahi

Na,Seleman Kodima, Dodoma. Uwepo wa kambi katika shule za msingi kwa madarasa ya Mitihani katika Kata ya Bahi Wilayani Bahi imetajwa kama sababu ya Ongezeko la Ufaulu wa Darasa la saba kwa mwaka huu.Hayo yamesemwa na Diwani wa kata hiyo…

17 December 2020, 2:28 pm

Waziri Jafo atangaza waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2021

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo amewaagiza viongozi wa mikoa kwa kushirikiana na wadau wa elimu kuhakikisha wanakamilisha miundombinu ili wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza waweze kuripoti shule mapema Januari mwaka 2021.Waziri Jafo ameyasema hayo leo…