Dodoma FM

chanjo

3 September 2025, 5:26 pm

Zoezi la chanjo ya mifugo lazinduliwa Mbalawala Dodoma

Uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Nchini Tanzania ulifanyika tarehe 16 Juni 2025 katika Viwanja vya Nyakabindi, Bariadi, Mkoa wa Simiyu, katika hafla hiyo, Rais Samia alizindua rasmi kampeni ya kitaifa ya chanjo ya mifugo na utambuzi wa wanyama,…

21 August 2025, 4:33 pm

Wazazi watakiwa kuzingatia chanjo ya polio kwa watoto

Hivi karibuni UNICEF na shirika la afya duniani WHO nchini Tanzania walizindua kampeni kubwa ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa polio iliyowafikia Watoto zaidi ya milioni 4. Na Lovenes Miriam.Wazazi hususani wanawake wametakiwa kuachana na tabia ya kudharau chanjo ya…

11 August 2025, 1:49 pm

Mchawi aokoka matunguli yachomwa moto Geita

Mwanamke huyo amekiri kuwa amekuwa akiishi maisha ya mateso kwa kuota ndoto za kutisha akiwa kwenye shughuli hizo za kishirikina. Na Kale Chongela: Wakati mikutano ya injili ikiendelea kuwagusa watu katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Geita, Mwanamke mmoja kutoka…