Dodoma FM

Ardhi

27 November 2025, 11:24 am

Vigodoro vyatajwa chanzo cha ukatili Kilosa

Kila mwaka kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 10 Dunia hufanya kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia lengo likiwa ni  kupinga ukatili na kutetea haki za wanawake na watoto ambao wamekua wahanga wakubwa wa kufanyiwa ukatili wa kijinsia.…

26 October 2025, 2:28 pm

Wasimamizi wa uchaguzi Ifakara wajengewa uwezo

“Uchaguzi ni Mchakato unaojumuisha hatua na taratibu mbalimbali za kikatiba na kisheria ambazo hupaswa kufuatwa hatua hizo ni msingi wa uchaguzi huru na wa haki” Na Katalina Liombechi Wasimamizi wa vituo kutoka kata 19 katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara…

21 October 2025, 6:20 pm

Mgombea Udiwani NLD aamini kwenye Maadili 

“Nimeona fursa ya mimi kulipa fadhila kwa jamii iliyonikuza kwa mfumo wa Siasa kuhakikisha kunakuwa na maadili ya watoto wetu kwa mustakabali wa Taifa letu” Na Katalina Liombechi Mgombea udiwani Kata ya Viwanjasitini kupitia National League for Democracy  NLD Abdallah…

21 October 2025, 6:08 pm

Vitambulisho Mbadala kutumika kupiga kura

Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, kwa mujibu wa Kifungu cha 69(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya mwaka 2024 Na Amina Mrisho Katika kuelekea uchaguzi…

18 October 2025, 4:47 am

Waganga wanaotumia ramli chonganishi kukiona Geita

“Hatutakubali kuona waganga wenye nia ovu wanaendelea kuiangamiza Jamii, na hili linaanza na nyie wenyewe kwa kuhakikisha kila mmoja wenu anasajiliwa” – SACP Safia Jongo Na: Kale Chongela Jeshi la Polisi mkoani Geita limesema halitawafumbia macho baadhi ya waganga wa…

September 20, 2025, 2:46 am

Kasulu DC yapata mwarobaini wa uhalifu

Halmashauri imezindua kituo cha polis Nyakitonto kitakachowezesha kusaidi wananchi wa Halmashauri hiyo kutatua changamoto zao za kipolis na kiusalama kwa karibu tofauti na zamani ambapo walikuwa wakilazimika kusafiri umbali mrefu kufuata huduma hiyo. Na; Sharifat Shinji Kiongozi mkuu wa mbio…

17 September 2025, 10:36 am

Ubwabwa ni lugha ya picha-Mgombea CHAUMMA

“Nimekuja kupitia kauli yangu ya mimi nitawafikisha,endapo nitapata…endapo nitafanikiwa kuwa mbunge wa jimbo hili” Na Joel Headman Mgombea ubunge jimbo la Arumeru Magharibi kupitia chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) bi.Nasinyari Mollel ameeleza kuwa sera inayopigiwa chapuo na chama chake…

11 September 2025, 7:14 pm

DC Kyobya ahamasisha amani kuelekea uchaguzi

‘Tuendelee kuhamasishana kushiriki kampeni za uchaguzi bila kusababisha taharuki wala kuvuruga amani’ Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Wakili Dunstan Kyobya, ameendelea kusisitiza umuhimu wa kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa…

September 8, 2025, 4:12 pm

Mwenge wa Uhuru kutua Kasulu Septemba 17-18

Mhe. Kanal Isack Mwakisu amewaomba wadau na wananchi kujitokeza katika mapokezi ya mbio za mwenge wa Uhuru mwaka 2025 siku ya tarehe 17 ambapo utapokelewa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu na tarehe 18 mwezi huu katika Halmashauri ya Mji…