Uncategorized
14 July 2021, 12:49 pm
Ugumu wa maisha na msongo wa mawazo ni sababu zinazopekea vijana kujiingiza kati…
Na;Yussuph Hans. Ugumu wa maisha na msongo wa mawazo bado vimeendelea kuwa miongoni mwa sababu zinazopelekea wimbi la baadhi ya vijana kuingia katika matumizi ya dawa za kulevya. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya vijana waliokuwa watumiaji wa dawa…
26 June 2021, 3:07 pm
Mkutano wa wadau kuchangia maoni uboreshaji wa mitaala ya elimu Nchini wafanyika…
Na,Mindi Joseph . Serikali imesmea ni vyema kusitisha mabadiliko yoyote kwenye mitaala ya Ngazi ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari iliyopo sasa Nchini mpaka mchakato wa wadau kuchangia maoni ili kuwa na Mtaala ambao ni shirikishi na jumuishi utakapokamilika.…
22 June 2021, 1:27 pm
Wakuu wa wilaya wapya Dodoma wametakiwa kusimamia vema vipaumbele vya Mkoa
Na;Yussuph Hans. Mkuu wa Mkoa Dodoma Mh. Antony Mtaka amewataka wakuu wa wilaya aliowaapisha leo Jijini Dodoma kuhakikisha wanasimamia vyema Vipaumbele vya mkoa na kuleta mabadiliko Chanya. Akizungumza baada ya hafla ya uapisho wa Viongozi hao, Mh Mtaka amesema kuwa…
21 June 2021, 2:05 pm
Wakuu wa mikoa wapya wametakiwa kusimamia ipasavyo huduma kwa wananchi
Na; Yussuph Hans. Wakuu wa Mikoa walioapishwa hii leo wametakiwa kuhakikisha wanasimamia ipasavyo huduma kwa wananchi katika maeneo wanayoenda kuyatumikia. Wito huo umetolewa na waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa hii leo wakati rais Rais Mh.Samia…
21 June 2021, 10:06 am
Viongozi wametakiwa kuiga msimamo wa aliyekuwa Rais wakwanza wa Zambia
Na; Benard Filbert. Viongozi katika nchi za Afrika wameaswa kuiga msimamo wa aliyekuwa rais wa kwanza wa Zambia Keneth Kaunda ili waweze kukuza uchumi katika mataifa yao. Hayo yameelezwa na mhadhiri mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka chuo kikuu cha…
4 June 2021, 2:52 pm
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China a…
Matukio katika picha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke mara baada ya kuwasili Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 4 Juni, 2021. Rais…
4 June 2021, 12:55 pm
Finland kushirikiana na Tanzania kuboresha ustawi wa maendeleo ya jamii
Na; Mariam Matundu. Serikali ya Finland imedhamiria kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha kuwa Maafisa Ustawi na Maendeleo ya Jamii wanawezeshwa katika utekelezaji wa shughuli zao za uboreshaji wa huduma kwa jamii hususani uwezeshwaji wanawake kiuchumi.…
4 June 2021, 9:39 am
Rais Samia Suluhu apokea Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kumkaribisha Mjumbe Maalumu wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda Dkt. Vincent Biruta mara baada ya kuwasili…
1 June 2021, 11:53 am
TMA yakutana na wadau wa sekta ya kilimo na mifugo jijini Dodoma
Na ;Victor Chigwada. Wadau wa sekta ya kilimo na mifugo wameelezea namna watakavyotumia utabiri wa hali ya hewa kufanikisha kazi zao kwa ufanisi zaidi. Wakizungumza katika warsha iliyofanyika katika chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo iliyo andaliwa na mamlaka ya…
24 May 2021, 11:58 am
Ubovu wa barabara Matumbulu wakwamisha zoezi la kuweka nguzo za umeme
Na; Benard Filbert. Kata ya Matumbulu jijini Dodoma inakabiliwa na ubovu wa barabara katika baadhi ya maeneo yake hali inayochelewesha zoezi la uwekaji nguzo za umeme. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa mtaa wa Mkombozi Bw. Haruni Nyakapara wakati akizungumza na…