Dodoma FM

Uncategorized

20 May 2021, 2:31 pm

Wakala wa vipimo wafanya ukaguzi wa mizani Jijini Dodoma

Na;MARIAM MATUNDU. Ikiwa leo ni siku ya vipimo Duniani wakala wa vipimo Mkoani Dodoma  wametembelea na kufanya ukaguzi wa mizani katika maeneo ya hospitali na sehemu za kufanyia mazoezi. Akizungumza katika ukaguzi huo kaimu meneja wa wakala wa  vipimo Mkoa…

6 May 2021, 1:56 pm

Jamii imetakiwa kuwasaidia watu wenye mahitaji maalum.

Na; Benard Filbert. Jamii inaaswa kutoa msaada kwa watu wenye mahitaji maalumu ikiwepo watoto wanaoishi katika mazingira magumu hali itakayosaidia kukidhi mahitaji yao ya msingi. Wito huo umetolewa na mratibu wa shirika la Charity Vision Tanzania Mariam Mbijima mara baada…

3 May 2021, 7:05 am

90,025 kuanza mitihani kidato cha sita

Na; James Justine KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde amesema, takribani wanafunzi 90,025 wameanza kufanya mtihani wa Kidato cha Sita kuanzia leo Jumatatu tarehe 3 hadi 25 Mei 2021.  Dk. Msonde ametoa taarifa hiyo…

30 April 2021, 1:22 pm

RAIS SAMIA SULUHU ASHINDA KWA KISHINDO UENYEKITI CCM

Na; Alfred Bulaya. Mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao umefanyika jijini Dodoma hii leo, umemchagua Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa. Rais Samia Suluhu Hassan ameteuliwa na…