Dodoma FM

mazingira

5 March 2024, 5:00 pm

Ummy: Asilimia 9.8 ya watu nchini hawana vyoo

Waziri Ummy amezielekeza mamlaka kuhakikisha zinasimamia vyema matumizi ya vyoo kwa wasafiri wawapo safarini kwa kuhakikisha mabasi yanasimama kwenye maeneo rasmi ikiwemo stendi za mabasi . Na Mariam Kasawa. Takwimu zinaonesha kuwa asilimia 9.8 ya watu nchini hawana vyoo kabisa…

5 February 2024, 6:02 pm

Taka, chupa za plastiki ni mali katika mazingira

Kwa mujibu wa redio Vatican inasena chupa za plastiki ambazo zilipaswa kutumika tena, lakini sehemu kubwa ya shehena za chupa inaishia kuwa ni taka zinazoendelea kutupwa na hivyo kuhatarisha maisha ya watu wengi duniani chupa hizi kamwe hazitaoza na zitaendelea…

13 April 2023, 6:33 pm

Ifahamu maana ya alama ya Ndonye kwa kabila la Wagogo

Ndonye ilitumika kwa watoto wadogo hapo zamani wa kabila hili la wagogo kama kinga ya macho lakini kwasasa wanasema hawaweki tena alama hiyo. Na Yussuph Hassan. Makabila mbalimbali Afrika na Tanzania huwa na alama mbalimbali ambazo hutambulisha kabila hilo kwa…

3 February 2023, 9:47 am

Simulizi Ya Utawala wa Kitemi katika Kabila La Kigogo

Simulizi hii inatuonyesha maswala mazima ya utawala na vitu mbalimbali ambavyo alikuwa akitumia Mtemi wa kabila la Kigogo. Na Yussuph Hassan Chifu Razaro Masuma Chihoma kutoka katika kata ya Iyumbu Imaya ya Bwibwi jijini Dodoma asimulia simulizi yote hiyo ya…

1 April 2022, 2:31 pm

Wakazi wa mtaa wa Itega walalamikia kuzagaa kwa takataka

Na; Neema Shirima. Wananchi wa mtaa wa Itega kata ya Nkuhungu jijini Dodoma wamelalamikia suala la kuzagaa kwa takataka katika maeneo hayo kutokana na kutokuwepo gari ya kuzoa takataka hizo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema magari yanayojishughulisha…

22 March 2022, 2:11 pm

Wananchi watakiwa kuitumia[…

Na; Seleman Kodima Wito umetolewa kwa wananchi kutumia mwezi huu wa mfungo wa kwaresma kutenda matendo ya huruma  kwa jamii ikiwemo kuwajali na kuwapa mahitaji watu wasiojiweza . Hayo yamesemwa na Vijana wa Kanisa la waadventista wa sabato kutoka kanisa…