Radio Tadio

Wazee

14/07/2025, 22:16

Wananchi waililia serikali urejeshwaji wa Mv Kilambo

Wananchi wa Kilambo, Mtwara, wameiomba serikali kurejesha feri ya MV Kilambo ili kuondoa adha ya usafiri, gharama kubwa na hatari ya kutumia viboti vidogo kuvuka mpaka kuelekea Msumbiji Na Musa Mtepa Baadhi ya wananchi na watumiaji wa kivuko cha Kilambo…

10 Julai 2025, 11:50

Simbeye: Wenye ulemavu changamkieni fursa za mikopo

Serikali imeahidi kuendelea kutoa mikopo kwa makundi ya watu wenye ulemavu, vijana na wanawake wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Na Hagai Ruyagila Watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma, wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo ya asilimia kumi…

30 Juni 2025, 5:42 um

Majirani wakerwa na choo cha muuza pombe

Choo kinachowakera ya wananchi. Picha na Anna Mhina “Hapa sisi tunapata shida na harufu ya kinyesi” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia kero wanayoipata ya harufu mbaya ya choo…

23 Juni 2025, 13:20

Vijana, wanawake, ulemavu wapewa mil. 800 Kasulu

Halamshauri ya Wilaya ya Kasulu imekabidhi hundi ya zaidi ya shilingi milioni 800 kwa vijana, wanawake  na watu wenye ulemavu katika robo ya tatu na nne ya January hadi june 2024/2025. Akiwakabidhi hundi hiyo mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mbunge…

10/03/2025, 18:46

Zaidi ya tani 9,000 za salfa zawasili bandari ya Mtwara

Hii ni meli ya kwanza kati ya meli nne zinazotarajia kubeba tani 40,000 za pembejeo  ya zao la korosho kwa msimu wa mwaka 2025/2026 ambapo kwa mujibu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho wakulima wanahitaji tani 40’000 ili kufanikisha uzalishaji…

18/02/2025, 09:26

ATCL yarejesha safari za ndege Dar es Salaam, Mtwara

Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Mtwara Jordan Mchami amesema kutokana na kuwepo kwa gharama ndogo za nauli kwenda na kurudi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam ambayo ni shilingi 199,000, kutapelekea kuongezeka kwa abiria watakaotumia usafiri huo. Na Musa…

03/02/2025, 17:12

TEHAMA yaongeza kasi uendeshaji shughuli za Mahakama Geita

Kilele cha wiki ya sheria nchini hufanyika kwa kujumuisha shughuli mbalimbali zinazohusiana na masuala ya sheria ili kuelimisha wananchi na kuhamasisha matumizi bora ya sheria katika jamii. Na: Ester Mabula – Geita Jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Geita…

20/11/2024, 12:41

Wajasiriamali Babati mji wakabidhiwa Millioni 211

Vikundi 19 vya wajasiriamali wa halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara, vyakabidhi mkopo wa shilingi millioni 211 ikiwa ni lengo la serikali  kuwakwamua wananchi kiuchumi. Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa wilaya ya Babati Emanuela Kaganda, amekabidhi shilingi millioni 211…

13 Oktoba 2024, 12:01 um

Mavunde awatuliza wananchi mgodi wa Sota Sengerema

Mgodi wa dhahabu wa SOTA GOLD Mining uliopo kata ya Igalula wilayani Sengerema mkoani Mwanza unatarajiwa kuanza uzalishaji mwakani 2025, ambapo kwasasa wameaanza madalizi ya ujenzi wa Mgodi huo,ikiwemo kuwahamisha wananchi wenye maeneo yanayo pakana na eneo la mgodi huo.…

24/09/2024, 16:54

Aliyemuua baba yake aachiwa huru Geita

Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Geita imemuachia huru Mahele Petro (19), mkazi wa Nyamilembe wilayani Chato mkoani Geita baada ya kukiri kosa la kumuua baba yake kwa kumchoma mkuki shingoni bila kukusudia. Na: Mwandishi wetu Hukumu hiyo imetolewa leo Septemba…