Vijana
5 October 2025, 6:40 pm
Kuna umuhimu gani kwa mwanamke kushiriki mikutano ya kampeni?
Baadhi ya wachangiaji wa mada.Picha na Anna Mhina “Tunashindwa kuhudhuria kwasababu hawatekelezi ahadi zao” Na Anna Mhina na Roda Elias Baadhi ya wanawake wa mtaa wa Mpadeko uliopo kata ya Makanyio wilayani Mpanda mkoani Katavi wameiomba mamlaka husika kutoa elimu…
3 September 2025, 7:09 pm
Wafanyabiashara watakiwa kuwekeza Manyara
Wafanyabiashara mkoani Manyara wametakiwa kuwekeza katika mkoa huo kwa kujenga hotel za kisasa, migahawa na nyumba za kulala wageni kutokana na kasi ya ukuaji wa mkoa. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga…
17 August 2025, 11:18 am
Dkt. Bwire akabidhi msaada wa vifaa vya michezo Namuhula
Viongozi na wanufaika wa msaada huo kuhakikisha vifaa hivyo vinatuzwa ili viweze kudumu kwa muda mrefu. Na Adelinus Banenwa Jumla ya jozi tano za jezi, viatu vya michezo jozi 12 na mipira 18 vimetolewa kwa vijana wa kata ya Namuhula…
8 August 2025, 12:26 pm
DC Lulandala awataka vijana kuchangamkia fursa ya mikopo inayotolewa na serikali
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara Faki Lulandala, amewataka wakulima, wavuvi na wafugaji kutumia fursa ya mikopo inayotolewa na halmashauri kukuza mitaji Yao na kujiinua kiuchumi. Na Mzidalfa Zaid Lulandala ametoa wito huo mkoani Arusha ,alipokuwa mgeni rasmi wa…
19 February 2025, 12:56 pm
Bampa la choo lapasuka na kutiririsha maji Uwanja
Inaelezwa kuwa bampa la choo cha nyumba yenye wapangaji limegongwa na gari na kupelekea kuangukia ndani ya shimo la choo. Na: Paul William – Geita Tukio hilo limetokea mtaa wa Elimu, kata ya Nyankumbu, halmashauri ya manispaa ya Geita ambapo…
19 February 2025, 10:50 am
Mvua yenye upepo yaezua paa la nyumba Mbugani
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Geita, zimepelekea baadhi ya athari za kimiundombinu kwa baadhi ya wananchi katika manispaa ya Geita. Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mbugani, kata ya kalangalala, halmashauri ya manispaa ya Geita makazi…
10 February 2025, 3:26 pm
Nyumba 5 zabomoka baada ya mvua kunyesha Geita
Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia Februari 08, 2025 mkoani Geita imepelekea changamoto ya kuathiri baadhi ya makazi ya watu. Na: Kale Chongela – Geita Nyumba tano za wakazi wa mtaa wa Ibolelo maarufu kwa jina la Mwabasabi kata ya Nyankumbu…
31 December 2024, 07:52
RC Homera awataka wazazi, walezi kuwalinda watoto
Watoto ni taifa la kesho kila mtu anawajibu wa kumlinda mtoto kwa namna yoyote na kuhakikisha anakuwa salama. Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera ameitaka jamii kuendelea kulinda na kuwathamini watoto iliwaweze kutimiza ndoto zao…
1 February 2024, 7:27 pm
DSW lawajengea uwezo vijana kukabili ukatili wa kijinsia na kujitambua
“Mafunzo mliyopatiwa yakawe chachu kwa vijana wengine kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mali ili kuondoa changamoto zitokanazo na ukosefu wa kipato” Na. Anthony Masai. Vijana zaidi ya 50 ambao ni viongozi wa vikundi vya mabadiliko katika mikoa ya Arusha na…
19 January 2024, 12:54 pm
Mtetezi wa mama Chato kusimama na Rais Samia uchaguzi serikali za mitaa
Baadhi ya vijana wilayani Chato wameonesha hisia zao kwa kuungana na Rais Dkt Samia kwa kile walichokieleza kuwa wana imani na serikali yake. Na Daniel Magwina: Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi Mkuu mwaka 2025 vijana…