Radio Tadio

Vijana

5 October 2025, 6:40 pm

Kuna umuhimu gani kwa mwanamke kushiriki mikutano ya kampeni?

Baadhi ya wachangiaji wa mada.Picha na Anna Mhina “Tunashindwa kuhudhuria kwasababu hawatekelezi ahadi zao” Na Anna Mhina na Roda Elias Baadhi ya wanawake wa mtaa wa Mpadeko uliopo kata ya Makanyio wilayani Mpanda mkoani Katavi wameiomba mamlaka husika kutoa elimu…

3 September 2025, 7:09 pm

Wafanyabiashara watakiwa kuwekeza Manyara

Wafanyabiashara mkoani Manyara wametakiwa kuwekeza katika mkoa huo kwa kujenga hotel za kisasa, migahawa na nyumba za kulala wageni kutokana na kasi ya ukuaji wa mkoa. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga…

19 February 2025, 12:56 pm

Bampa la choo lapasuka na kutiririsha maji Uwanja

Inaelezwa kuwa bampa la choo cha nyumba yenye wapangaji limegongwa na gari na kupelekea kuangukia ndani ya shimo la choo. Na: Paul William – Geita Tukio hilo limetokea mtaa wa Elimu, kata ya Nyankumbu, halmashauri ya manispaa ya Geita ambapo…

19 February 2025, 10:50 am

Mvua yenye upepo yaezua paa la nyumba Mbugani

Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Geita, zimepelekea baadhi ya athari za kimiundombinu kwa baadhi ya wananchi katika manispaa ya Geita. Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mbugani, kata ya kalangalala, halmashauri ya manispaa ya Geita makazi…

10 February 2025, 3:26 pm

Nyumba 5 zabomoka baada ya mvua kunyesha Geita

Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia Februari 08, 2025 mkoani Geita imepelekea changamoto ya kuathiri baadhi ya makazi ya watu. Na: Kale Chongela – Geita Nyumba tano za wakazi wa mtaa wa Ibolelo maarufu kwa jina la Mwabasabi kata ya Nyankumbu…

31 December 2024, 07:52

RC Homera awataka wazazi, walezi kuwalinda watoto

Watoto ni taifa la kesho kila mtu anawajibu wa kumlinda mtoto kwa namna yoyote na kuhakikisha anakuwa salama. Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera ameitaka jamii kuendelea kulinda na kuwathamini watoto iliwaweze kutimiza ndoto zao…