Radio Tadio

Utalii

09/10/2025, 21:49

Viongozi Mkunwa wagusa maisha ya mzee Somba

Viongozi wa Kata ya Mkunwa wametoa msaada wa godoro, sabuni na taa kwa familia ya Mzee Salumu Somba ili kusaidia kupunguza changamoto za maisha zinazoikabili familia hiyo. Na Musa Mtepa Viongozi na watendaji wa vijiji katika Kata ya Mkunwa wametoa…

08/08/2025, 06:30

Jamii inachangiaje kuwalinda, kuwatunza watu wenye ulemavu?

“Hamisi Bakari anakiri kuwa changamoto kubwa anayokumbana nayo ni ukosefu wa eneo maalum la kufanyia biashara, kama angepata sehemu hiyo rasmi basi angeweza kupiga hatua zaidi za kimaendeleo kwa kuwa angeendesha biashara yake kwa utulivu na kujiimarisha zaidi kiuchumi” Na…

06/08/2025, 18:45

Makala: Kuruthumu apatiwa msaada wa kununua kiatu maalum

“Kuruthumu amepatiwa msaada wa shilingi 300,000 kwa ajili ya gharama za ununuzi wa kiatu hicho maalumu. Huu ni mwanzo mpya kwa maisha yake, kwani sasa ataweza kushiriki ipasavyo katika shughuli za kila siku bila kikwazo kikubwa cha utembeaji” Na Msafiri…

01/08/2025, 18:08

SDA yataka usawa kwa wenye ulemavu

Ni warsha kujadili changamoto na fursa kwa watu wenye ulemavu, ikiwakutanisha viongozi wa serikali na wadau wa maendeleo, lengo ni kuimarisha elimu jumuishi na kuondoa mitazamo potofu. Na Mwanahamisi Chikambu Katika juhudi za kuendeleza elimu jumuishi na kuboresha maisha ya…

28/07/2025, 22:31

Mzee mlemavu wa macho aomba msaada wa makazi Mtwara

Mzee Salumu Somba mkazi wa Mnyengedi, Mtwara, mlemavu wa macho, anaomba msaada wa makazi, mavazi, na mahitaji ya msingi kwa ajili ya familia yake kutokana na hali ngumu ya maisha. Na Musa Mtepa Mzee Salumu Somba, mkazi wa Kijiji cha…

15 Julai 2025, 13:20

Viongozi, wafuasi vyama vya siasa watakiwa kutenda haki

Wakati zikiwa zimesalia siku chache kabla ya uchaguzi Mkuu wa mwezi oktoba viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa wametakiwa kutenda haki Na Hagai Ruyagila Wajumbe wa vyama vya siasa mkoani Kigoma wanaoshiriki katika mchakato wa kura za maoni kwa…

17/04/2025, 15:17

Ulemavu na Sanaa: Kipaji ndani ya sauti

Karibu kwenye makala maalum kupitia Jamii FM, Leo tunakuletea simulizi ya kusisimua, ya kuhamasisha, na yenye kugusa hisia, simulizi ya kijana mmoja jasiri, mwenye moyo wa chuma na sauti ya dhahabu juu ya Ulemavu na sanaa Na Msafiri Kipila John…

28 Januari 2025, 18:19

Madereva Bajaji Mbeya walia na ubovu wa barabara

Changamoto ya miundombinu ya barabara katika maeneo mengi ya jiji la Mbeya yamekuwa kero kwa madereva na wananchi. Na Josea Sinkala, Mbeya. Madereva wa pikipiki za magurudumu matatu almaarufu Bajaji wanaofanya safari zao kati ya Isyesye na Kabwe Mwanjelwa jijini…