
Utalii

27 February 2025, 4:02 pm
Baraza la madiwani Bunda TC wapitisha bajeti ya bilion 2.24 ya TARURA kwa 2025…
Fedha hizo zikipitishwa kama zilivyopendekezwa zitakwenda kutelezeza hatua tofauti za ujenzi wa miundombinu ya barabara kama vile ujenzi wa barabara mpya, ujenzi wa mitaro, uwekaji wa taa za barabarani maeneo ya senta pamoja na ujenzi wa madaraja na karuvati. Na…

20 February 2025, 7:21 pm
Madiwani Bunda DC wakubali kupitisha bajeti ya Tsh, 36,5 bilion
Baraza la Madiwani halmashauri ya wilaya ya Bunda limepitisha makadilio ya bajeti ya shilingi Bilion 36.5 kwa mwaka wa fedha 2025 na 2026 Na Adelinus Banenwa Baraza la Madiwani halmashauri ya wilaya ya Bunda limepitisha makadilio ya bajeti ya shilingi…

28 January 2025, 18:19
Madereva Bajaji Mbeya walia na ubovu wa barabara
Changamoto ya miundombinu ya barabara katika maeneo mengi ya jiji la Mbeya yamekuwa kero kwa madereva na wananchi. Na Josea Sinkala, Mbeya. Madereva wa pikipiki za magurudumu matatu almaarufu Bajaji wanaofanya safari zao kati ya Isyesye na Kabwe Mwanjelwa jijini…

January 27, 2025, 11:52 am
Mahakama ya wilaya Kahama yazindua wiki ya sheria
kauli mbiu ya mwaka huu ‘‘Tanzania ya 2025 nafasi ya Taasisi zinazosimamia haki madai katika kufikia malengo mkuu ya dira ya Taifa ya maendeleo’’ Na Sebastian Mnakaya Wananchi wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika viwanja…

January 17, 2025, 2:06 pm
Wananchi fanyeni makubaliano ya kimkataba
Maonesho ya Wiki ya sheria yataanza January 27 mwaka huu, hadi siku January 31 mwaka huu katika viwanja vya mahakama ya wilaya Kahama Na Sebastian Mnakaya Wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwa na tabia ya kufanya makubaliano ya kimkataba…

3 January 2025, 5:42 pm
TAKUKURU Manyara kuendeleza mapambano ya rushwa 2025
mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Manyara Bahati Haule amesema wataendelea kutoa elimu kwa wananchi kupitia TAKUKURU rafiki, lengo ikiwa ni kuitoa TAKUKURU ofisini na kuwafikia wananchi. Na Mzidalfa Zaid Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU mkoa wa Manyara,…

8 December 2024, 10:14 pm
Kuelekea miaka 63 ya uhuru Sengerema yafanya usafi hospitali ya wilaya
Hivi karibuni waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alielekeza maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania yafanyike Kwa ngazi za Mikoa na Wilaya, kwa kufanya shughuli za kijamii zikiwemo upandaji miti, usafi wa mazingira katika maeneo ya kijamii…

28 August 2024, 17:43
Wananchi wahimizwa kutunza miundombinu ya barabara Kyela
Mwenge WA Uhuru unaendeleaje kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika halmashauri ya wilaya ya Kyela mkoani Mbeya Na Hobokela Lwinga Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Godfrey Mnzava Pamoja na timu yake ya Vijana Sita wamewaasa Wananchi hasa…

1 January 2024, 9:10 pm
Serengeti yaendelea kung’ara hifadhi bora barani Afrika
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imejipanga kuendelea kuboresha huduma mbalimbali ili kuwavutia watalii na kuifanya kuendelea kuwa hifadhi bora ya kwanza barani Afrika. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Kamishna Msaidizi wa Hifadhi Moronda B. Moronda…

28 December 2023, 18:13
Madiwani Wilaya ya Kyela watembelea vivutio vya utalii wilayani Rungwe Mbeya
Na Hobokela Lwinga Makamu Mwenyekiti Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mhe January Mwakasege (Mwenye suti nyeusi )amewaongoza Madiwani kutoka Wilaya ya Kyela kutembelea vivutio vya Utalii mbalimbali vinavyopatikana wilayani Rungwe. Madiwani kutoka Kyela wamefanya ziara hii ikiwa ni sehemu ya…