Uhuru
28 Oktoba 2025, 11:35 mu
Dkt Lugomela ahitimisha kampeni za uchaguzi kwa kishindo- Maswa
Nimezunguka kata zote 19 za Jimbo la Maswa mashariki nimesikiliza kero na kujionea changamoto mbalimbali hivyo mkinipa ridhaa ya kuwa mbunge wenu nitaenda kuzitatua ” Dkt George Lugomela” Mgombea Ubunge Jimbo la Maswa Mashariki Mkoani Simiyu kupitia chama cha mapinduzi…
27 Oktoba 2025, 21:38
CUF yaahidi maendeleo kwa Wananchi wa kata ya Madimba
Mgombea Ubunge wa Mtwara Vijijini kupitia CUF, Shamsia Azizi Mtamba, amewataka wananchi wa Kata ya Madimba kuendelea kumuamini na kumpa kura, akiahidi kuendeleza maendeleo na kulinda kura zao dhidi ya propaganda za kisiasa Na Musa MtepaMtwara–Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la…
25 Oktoba 2025, 21:34
DC Mbeya ahamasisha wananchi kupiga kura October 29, 2025
Kupiga kura ni haki ya msingi kwa kila mwananchi alikidhi vigezo ikiwemo umri. Na Hobokela Lwinga Wananchi halmashauri ya wilaya ya Mbeya wameshiriki matembezi ya pole kwa lengo la kujipongeza kwa ushindi wa mbio za Mwenge kikanda oktoba 14,2025 na…
24 Oktoba 2025, 15:32
Wenye ulemavu Kasulu kuchangamkia mikopo
Halmashauri ya mji Kasulu Mkoani Kigoma imewataka watu wenye ulemavu kujitokeza na kuchangamkia mikopo inayotolewa kwa makundi ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Na Hagai Ruyagila Watu wenye Ulemavu katika halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wameshauriwa kutumia fursa…
23 Oktoba 2025, 15:30
Kandahari kuanzisha mfuko kusaidia wenye ulemavu Uvinza
Watu wenye ulemavu wameomba jamii kutoendelea kuwanyanyapaa badala yake wawaelekeze na kuwasaidia ili nao waweze kufanya shughuli za kuwaingizia kipato na kuchangia pato la familia na Taifa Na Mwandishi wetuMgombea ubunge Jimbo la Kigoma kusini Nuru Kashakali maarufu Kandahari ameahidi…
22 Oktoba 2025, 12:29 um
ADA TADEA: Mkituchagua, wazee watalipwa posho kila mwisho wa mwezi
Wazee ni hazina ya Taifa maana wamelitumikia kwa nguvu zao zote hivyo tunapaswa kuwajali na kuwatunza ili wasiwe omba omba na kunyanyasika– ” Georges Busungu -Mgombea Urais Ada tadea “ Mgombea Urais kupitia Chama cha African Democratic Alliance Party ( ADA …
22 Oktoba 2025, 09:51
WCF yatoa viti mwendo kusaidia wenye mahitaji maalum Kasulu
Watu wenye mahitaji maalum hawana budi kushirikishwa kikamilifu katika shughuli za kijamii na kiuchumi ikiwa ni sehemu ya kujenga jamii jumuishi Na Hagai Ruyagila Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umetoa msaada wa viti mwendo 11 vyenye thamani ya shilingi…
15 Oktoba 2025, 09:28
Dkt. Mpango: Wananchi tudumishe amani, tumuenzi baba wa taifa
Mbio za mwenge kitaifa kitaifa 2025 zimehitimishwa rasmi mkoani Mbeya baada kukimbizwa kwa siku 195 nchi nzima. Na Hobokela Lwinga Makamu wa Rais Tanzania mhe.Philip Mpango amewataka wananchi wakiwemo vijana kuhakikisha Wanasimamia misingi iliyoachwa na baba wa taifa mwalimu Julias…
13 Oktoba 2025, 19:41
Serikali imeendelea kuchukua hatua kuimarisha ustahimilivu wa Taifa dhidi ya maj…
Serikali imeendelea kushirikiana na sekta binafsi na wewe jamii Kukabiliana na maafa. Na Hobokela Lwinga Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka wizara na taasisi za kisekta kutenga bajeti kwa ajili ya maafa huku sekta binafsi zikitakiwa kuwa na uwekezaji stahimilivu juu…
9 Oktoba 2025, 15:14
CUF yasisitiza umuhimu wa kupiga kura,Octoba 29,2025
Mgombea urais wa CUF, Gombo Samandito Gombo, amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, akiahidi huduma bora za jamii na maendeleo ya kweli endapo chama chake kitaunda serikali Na Musa Mtepa Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama…