Nishati
23 June 2021, 11:34
wanawake Dodoma wamshukuru rais Samia.
Na; Benard Filbert Baadhi ya wanawake jijini Dodoma wamemshukuru rais Mh.Samia Suluhu Hassan kufuatia ongezeko la idadi ya wanawake ambao wameteuliwa hivi karibuni katika nafasi ya wakuu wa Wilaya nchini.Wakizungumza na taswira ya habari wanawake hao wamesema kitendo cha rais…
3 June 2021, 12:11
Wafugaji wilayani Chemba walia na changamoto ya kukosa soko la kuuzia mifugo yao
Na;Victor Chigwada. Wakulima na wafugaji wa Kata ya Farkwa katika Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwatatulia changamoto ya soko la mazao pamoja na majosho ili wafanye shughuli zao kwa tija. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema…
27 May 2021, 13:08
Kata ya Nzuguni washangilia Neema ya umeme kupitia mradi wa REA
Na ;Victor Chigwada Wakazi wa mtaa wa Nzuguni A Jijini Dodoma wamepata matumaini ya kupata huduma ya nishati ya umeme baada ya zoezi la usambazaji nguzo kupitia mradi wa REA kuanza katika eneo hilo. Baadhi ya wakazi wa eneo hilo…
26 May 2021, 13:24
TARURA wahakikisha ukarabati barabara Nzuguni Dodoma
Na; Yussuph Hans Wananchi wa Kata ya Nzunguni Jijini Dodoma wamehakikishiwa ukarabati wa Barabara za Kata hiyo kwa kiwango cha Lami kwa mwaka huu, kufuatia changamoto ya ubovu wa barabara inayowakabili kwa muda mrefu. Hayo yamebainishwa na Meneja wa Wakala…
26 May 2021, 12:50
Auawa na ndugu tuhuma ya wizi
Na; Thadey Tesha Mtu mmoja ameuawa na ndugu zake wa karibu Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wakimtuhumu kujihusisha na vitendo vya wizi. Akizungumza na waandishi wa habari hii leo kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma SACP Gilles Muroto amemtaja marehemu kuwa ni…
25 May 2021, 12:10
Wakazi wa kata ya makulu walalamikia kukosa huduma ya barabara
Na; Ramla Shabani Wananchi wa Mtaa wa Njedengwa Magharibi Kata ya Makulu jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwajengea daraja pamoja na kuwakarabatia barabara za mtaa huo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa korongo linalopita mtaani hapo limekuwa likisababisha…
25 May 2021, 11:30
Udanganyifu watokea maombi ya Ualimu
Na; Yussuph Hans Serikali imesema itachambua kwa kina maombi ya ajira kwa kada ya ualimu ili haki itendeke kufuatia kuibuka changamoto ya udanganyifu kwa baadhi ya Waombaji. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais…
24 May 2021, 10:16
Wizi wapelekea wakazi wa Makulu kuishi bila amani
Na; Benjamin Jackson. Wakazi wa kata ya Makulu Jijini Dodoma wamelalamikia eneo hilo kukumbwa na wimbi la wizi hali inayopelekea wananchi kukosa amani katika makazi yao. Wakizungumza na Dodoma fm wananchi hao wamesema tatizo la wizi katika eneo hilo limekuwepo…
21 May 2021, 13:50
Ukosefu elimu juu ya umuhimu wa vyeti vya kuzaliwa changamoto kwa wazazi
Na; Thadey Tesha Ukosefu wa elimu juu ya umuhimu wa vyeti vya kuzaliwa umetajwa kama miongoni mwa sababu zinazowafanya wazazi wengi kutofuatilia upatikanaji wa vyeti hivyo. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wazazi jijini Dodoma wakati wakizungumza na Taswira ya Habari…
21 May 2021, 12:29
madereva waaswa kuzingatia maadili ya muziki ndani ya vyombo vya usafiri
Na; Shani Nicolous Wito umetolewa kwa madereva wa vyombo vya moto kuzingatia maadili ya miziki inayopigwa pamoja na video katika vyombo vyao vya usafiri ili kutokuharibu mila na desturi za kitanzania. Wito huo umetolewa na Bw. Leo Ngowi ambaye Kaimu…