Ndoa
1 January 2024, 13:08
Ndoa 16 zafungwa na kubarikiwa siku moja ya mwaka mpya
Na Hobokela Lwinga katika kuupokea mwaka mpya 2024 kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi ushirika wa Yeriko uliopo mbalizi Mbeya. Akiongoza katika ibada hiyo kwa wanandoa hao mchungaji wa ushirika wa Yeriko Paul Mwampamba amesema ndoa hizo ni…
7 September 2023, 2:27 pm
Familia zatakiwa kutatua changamoto ili kujenga ustawi wa watoto
Migogoro katika familia isiposuluhishwa matokeo yake ni ndoa kuvunjika, kitendo ambacho hakipendwi na jamii, na hakina faida kwa watoto wao, madhehebu ya dini, wazazi, jamaa na wategemezi wao. Na Yussuph Hassan. Utatuzi wa changamoto za kifamilia umetajwa kuwa ni njia…
29 August 2023, 2:27 pm
Wanandoa waaswa kuacha mfumo dume
Wanandoa katika manispaa ya Tabora wametakiwa kuacha dhana ya mfumo dume na badala yake washirikiane katika masuala ya uzalishaji mali na kisha kutoa maamuzi ya pamoja kwa ajili ya maendeleo. Zaituni Juma ametuandalia taarifa ambayo imeangazia umuhimu wa ushirikino kwa…
3 August 2023, 4:43 pm
Ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii
Utandawazi unatajwa kuwa na ukombozi wa kupunguza vitendo hivi vya ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii. Na Mariam Matundu. Mariam matundu amezungumza na Bwana Stanley Nyambuya yeye alikuwa anafanya shughuli ya kukeketa mabinti hapo zamani lakini kwa sasa ameacha.
3 August 2023, 14:21 pm
Kipindi: Watanzania wengi wanaishi kwenye dhana ya ndoa na sio Ndoa
Na Musa Mtepa Akizungumza katika kipindi maalumu kinachorushwa na jamii FM redio cha tarehe 25/07/2023,Hakimu Mkazi kutoka mahakama ya Mwanzo Mkoani Mtwara Ndugu Alex Robert amesema baada ya ndoa kufungwa inapaswa kusajiriwa katika taasisi ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na…