Radio Tadio

Miundombinu

8 Septemba 2022, 6:49 um

Wananchi Watakiwa Kuwa Wavumilivu Maboresho ya Barabara

IVUNGWE- MPANDA Siku chache tangu barabara ya ivungwe kuanza kurekebishwa kwa ahadi ya mbunge Sebastiani Kapufi wananchi wametakiwa kuwa wavumilivu wakisubiri kumalizika kwa mradi huo kutokana na changamoto ya kuharibika kwa mtambo wa kutengeneza barabara hiyo. Akizungumza kwa  njia ya…

13 Agosti 2022, 7:41 mu

Uwanja Wa Ndege Wa Nduli Kuwa Lango La Fursa Ya Utalii

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema upanuzi wa uwanja wa ndege wa Nduli mkoani Iringa utakapokamilika utaongeza fursa za kibiashara na kuifungua zaidi kanda ya Kusini kwenye sekta ya Utalii.   Rais Samia Suluhu…

27/05/2022, 15:22

Wakazi wa Magaga waiomba serikali kuwatatulia changamoto ya barabara

Na;Mindi Joseph. Wananchi wa kitongoji cha Magaga wameiomba serikali kuwatatulia changamoto ya miundombinu ya Barabara Kutoka Magaga kuelekea Mvumi pamoja na kuwajengea Daraja. Wakizungumza na taswira ya habari wamesema changamoto hii inawaathiri katika shughuli zao za maendeleo na wameomba Serikali…

26/05/2022, 09:14

Kingiti waiomba TARURA kuwatengenezea barabara za mitaani

Na; Victor Chigwada. Kukosekana kwa barabara za mitaa katika kata ya Kingiti imekuwa adha kubwa kwa wananchi hivyo wanaiomba mamlaka ya barabara za vijijini TARULA kuwasaidia kuchonga barabara hizo. Barabara za mitaa Ni muhimu katika jamii kwani zinasaidia kuweka mazingira…