Miundombinu
8 Mei 2023, 11:22 mu
Mbunge Midimu aibana serikali kujenga Daraja Simiyu
Na Mwandishi wetu Serikali imetakiwa kujenga Daraja la Mto Duma- Bariadi lililopo Mkoani Simiyu ambalo limekuwa likijaa kipindi Cha Mvua. Hayo yamezungumzwa Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi Cha maswali na majibu na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Esther…
6 Mei 2023, 8:32 mu
Maswa: Ukosefu wa miundombinu bora katika Stund ya bus halmashauri ni chanzo.
Na Alex.F.Sayi UMOJA wa Mawakala wa Usafirishaji Stund Mpya iliyopo wilayani Maswa Mkoani Simiyu wameulalamikia uongozi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kwa ubovu wa miundombinu katika stund hiyo licha ya kutozwa ushuru kwa kila gari inayoingia hapo. Akizungumza na Sibuka…
5 Mei 2023, 3:45 um
Kondoa watakiwa kukamilisha miradi ya maendeleo kwa wakati
Na Mindi Joseph. Katibu Tawala Mkoa wa dodoma Bw. Ally Senga ameangiza ujenzi wa Miradi ya maendeleo ya kimkakati inayotekelezwa katika Halmashauri ya Kondoa Mji kukamlika ifikapo June 15 mwaka huu. Ameyabainisha hayo baada ya kutemebelea Miradi hiyo ikiwemo shule,…
29 Aprili 2023, 11:07 mu
Jumuiya ya Wazazi wilayani Kilosa waishauri serikali kuikarabati shule iliyoingi…
Ni zaidi ya miaka kumi shule ya msingi Madaraka imehamishwa kutokana na mafuriko yaliyoingia shuleni hapo na kupelekea wanafunzi kuhamishwa Jumuiya ya wazazi wameishauri serikali kuikarabati shule hiyo. “Majengo tumeyaona na tatizo kubwa lililofanya shule hiyo kuhamishwa ilikuwa ni mafuriko…
26 Aprili 2023, 3:01 um
Operesheni ya kukamata wezi wa vyuma yaendelea Mpwapwa
Katika oparesheni hiyo ametoa muda kwa wale wote walio uziwa vyuma hivyo bila kujua wavikabidhi kwa watendaji. Na Fred Cheti. Mkuu wa Wilaya ya Mpwampwa Mhe.Sophia Kizigo amesema wanaendelea na operesheni maalum ya kukamata watu wanaoiba vyuma vilivyofungwa kwenye minara…
25 Aprili 2023, 1:36 um
Mzogole waishukuru Serikali kwa kuanza ujenzi wa daraja
Ujenzi wa daraja hilo unafuatia baada ya kujengewa shule kubwa ya Sekondari iliyopo makao makuu ya kata, adha zilizowasumbua wananchi hao tangu kupatikana kwa uhuru wa nchi. Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Mzogole kata ya Mpinga wilayani Bahi…
24 Aprili 2023, 1:20 um
Uongozi wa kijiji wakwamisha ujenzi wa shule ya sekondari Manungu
Wananchi wamesema wao hawana tatizo bali wanataka viongozi wafikie muafaka kuwa shule hiyo ijengwe wapi. NA Bernadetha Mwakilabi, Kongwa Wananchi wa kijiji cha Manungu kilichopo kata ya Sejeli wilayani Kongwa wameulalamikia uongozi wa halmashauri ya kijiji hicho hususani mwenyekiti kwa…
21 Aprili 2023, 4:26 um
Wananchi Kongogo waridhia mradi wa ujenzi wa skimu za umwagiliaji
Mradi huo utagharimu Bilioni 5.6 na unakadiriwa kutumia kipindi cha mwaka Mmoja na Miezi sita kukamilika. Na Mindi Joseph. Wananchi wa Kijiji cha Kongogo kata ya Babayu Wilayani Bahi wameridhia ujenzi wa Mradi wa skimu za kilimo cha Umwagiliaji kutekelezwa…
21 Aprili 2023, 2:37 um
Serikali yajenga nyumba bora za walimu Bahi
Katika hatua nyingine kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ilibaini Mapungufu katika ujenzi wa vyumba viwili vya Maabara shule ya sekondari Chonama. Na. Bernad Magwa. Walimu wa shule za msingi wilayani Bahi wameishukuru serikali kwa kuwajengea nyumba bora za makazi…
20 Aprili 2023, 2:36 um
Mbunge Matondo aibana serikali kuanza ujenzi wa Barabara kutoka Airport- Nyangug…
Serikali imeombwa kukarabati Barabara ya Airport kwenda Nyanguge ambayo imekuwa mbovu na changamoto kwa watumishi. Na Mwandishi wetu Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mwanza, Mh Furaha Matondo amehoji mkakati wa serikali kuanza ujenzi wa kiwango cha lami kwa barabara…