Miundombinu
4 Septemba 2025, 10:38 mu
Mwenge waridhishwa na mradi wa visima Nyangh’wale
Mwenge wa uhuru ukiwa wilaya ya Nyangh’wale umetembelea, kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye jumla ya miradi 11 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1. Na: Kale Chongela Mwenge wa uhuru umeridhishwa na ujenzi wa mradi wa visima vitano vya maji katika kata ya Shabaka, halmashauri…
3 Septemba 2025, 9:56 mu
Picha: Mwenge wa uhuru wakabidhiwa Nyangh’wale
Ikumbukwe Mwenge wa uhuru ulipokelewa mkoani Geita Septemba mosi, 2025 ukitokea mkoani Mwanza ambapo umeendelea kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Na: Kale Chongela Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Grace Kigalame ameupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa wilaya…
30 Agosti 2025, 6:22 um
Geita kuupokea Mwenge wa Uhuru Jumatatu
Mwenge wa Uhuru ukiwa mkoani Geita utatembelea , kukagua , kuzindua kuweka mawe ya msingi jumla ya miradi 61ya maendeleo. Na Kale Chongela: Mkoa wa Geita unatarajia kuupokea Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2025 katika kijiji cha Lwezera Halmashauri ya…
30 Agosti 2025, 6:00 um
Serikali yatoa hekta 5,000 za hifadhi kwa wananchi Bukombe
Hakuna wananchi wenye uhaba wa maeneo na makazi katika kitongoji cha Idosero baada ya serikali kutoa hekta zaidi ya 5,000. Na Mrisho Sadick: Serikali imetenga zaidi ya hekta 5,600 kutoka maeneo ya hifadhi na kuwagawia wananchi wa Kitongoji cha Idosero…
22 Agosti 2025, 3:27 um
GGML yaridhia kuwalipa fidia wakazi Nyakabale na Nyamalembo
Hatua hiyo imefikiwa baada ya pande zote kukubaliana kuanza mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wanaotakiwa kupisha maeneo yanayotumiwa na mgodi huo Na: Ester Mabula Serikali kupitia wizara ya madini imetangaza rasmi kumalizika kwa mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka…
22 Agosti 2025, 15:18 um
Wanawake waliovunja ukimya, safari ya Coletha, Zaituni kisiasa
Walizunguka kwa miguu, walikutana na wananchi, wakahamasisha, na walipambana kwa hali na mali kuhakikisha sauti ya mwanamke inasikika katika uongozi wa ngazi ya chini Na Mwanaidi Kopakopa Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeanza kushuhudia mwamko mpya wa wanawake kushiriki kikamilifu…
20 Agosti 2025, 8:21 um
Sakata la TFS na wananchi Lwamgasa limekwisha
Miongoni mwa sababu kubwa za mgogoro huu ni uhaba wa maeneo ya kilimo, hali inayochangiwa na shughuli nyingi za uchimbaji wa madini ya dhahabu. Na Mrisho Sadick: Siku chache baada ya wakazi wa kijiji cha Lwamgasa wilayani Geita kuvamia na…
17 Agosti 2025, 8:02 um
Serikali yawajengea ofisi Bodaboda Geita
Wamekabidhiwa ofisi hiyo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Geita Yefred Myenzi kwa ajili ya kuanza kuitumia rasmi katika shughuli zao. Na Kale Chongela: Umoja wa Madereva Bodaboda Mkoa wa Geita (UMABOGE) wameipongeza serikali kwa kuwajengea ofisi mpya iliyopo katika viwanja…
6 Agosti 2025, 18:54 um
Mtamba aibuka kidedea kura za maoni CUF Mtwara Vijijini
Mh. Shamsia Mtamba ashinda kura za maoni CUF Mtwara Vijijini kwa kura 334 kati ya 374, akimuacha Abdull Mahupa nyuma kwa kura 39 Na Musa Mtepa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Mh. Shamsia Azizi Mtamba, ameibuka mshindi katika…
14 Julai 2025, 7:35 um
NMB yawa mkombozi kwa walimu Geita
Benki ya NMB imeendelea kuwa karibu na walimu ili kuwapunguzia baadhi ya changamoto ambazo ziko ndani ya uwezo wa benki hiyo kama mikopo yenye mashariti nafuu. Na Mrisho Sadick: Serikali imeahidi kuendeleza ushirikiano na Benki ya NMB kutokana na mchango…