Migogoro
14 October 2025, 12:36 pm
Mvua zatatiza shughuli Idifu, wananchi waomba daraja
Hali hiyo imekuwa ikisababisha usumbufu mkubwa kwa wakulima na wafanyabiashara hasa msimu wa masika. Na Victor Chigwada. Wananchi wa vitongoji vya Mugu na Mjiha, vilivyopo Kata ya Idifu, Wilaya ya Chamwino, wameiomba serikali kujenga daraja katika eneo la Nyika, ambalo…
14 October 2025, 12:13 pm
Changamoto ya maji Chanhumba karibu kutatuliwa
Hatua ya kufungwa kwa transifoma mpya katika kijiji cha Chanhumba italeta faraja kwa wananchi waliokuwa wakikabiliwa na upungufu wa maji. Na Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji cha Chanhumba, Kata ya Handali, Wilaya ya Chamwino, wameanza kupata matumaini juu ya utatuzi…
9 October 2025, 5:17 pm
Wanawake, vijana na wenye ulemavu wapata elimu ya mikopo
Picha ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Khatibu Kazungu, wakati akifungua mafunzo kwa vikundi , katika ukumbi wa Nala Hotel, Jijini Dodoma. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.Dkt. Kazungu amesema mafunzo hayo yanalenga kuongeza ujuzi na maarifa…
9 October 2025, 10:31 am
Kanda namba tatu yatoa elimu ya mapato Mbalawala
Picha ni baadhi wa wananchi wakiwa na mifugo yao katika Mnada wa Mbalawala. Picha na Lilian Leopold. Katika ziara hiyo, timu ya watumishi wa kanda ilishiriki katika shughuli za makusanyo ya ushuru wa mifugo, biashara ndogo ndogo, pamoja na utoaji…
8 October 2025, 11:12 am
Visima vya TASAF vyaleta nafuu, foleni ya maji yaendelea Mjeloo
. Wameongeza kuwa mbali na visima hivyo lakini bado wamekuwa wakitumia muda mwingi kukaa kwenye foleni kwani visima hivyo havitoi maji yakutosha. Na Victor Chigwada. Wananchi Kijiji Cha Mjeloo, wilaya ya Chamwino wamesema kuwa pamoja na uhaba wa huduma ya…
2 October 2025, 3:42 pm
Mikopo ya 10% yawakwamua vijana kiuchumi
Mikopo hiyo inawapa faida zaidi ikilinganishwa na mikopo mingine ya mtaani ambayo mara nyingi ina riba kubwa. Na VictorChigwada. Vijana wa Kata ya Msamalo, Wilaya ya Chamwino, wameipongeza serikali kwa kujali kundi la vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu kwa…
1 October 2025, 12:04 pm
Kukosekana kwa kiinua mgongo, mshahara kilio kwa wenyeviti
Wamesema hali hiyo imewavunja moyo kuendelea kutumikia wananchi bila malipo ya kifuta jasho.Wanaiomba serikali kuwatambua kama sehemu ya ngazi za uongozi na kuwapa posho za kila mwezi. Picha na Blogsport. Kilio hiki cha wenyeviti kukosa mishahara au kifuta jasho kimeendelea…
22 August 2025, 4:06 pm
Vinara wa uwajibikaji wachaguliwa Inzomvu
Picha ni wakazi wa kijiji cha Inzomvu wilayani Mpwampwa wakiunga mkono uwepo wa vinara wa uwajibikaji. Picha na Seleman Kodima. Baadhi ya Vinara wa Uwajibikaji na usimamizi wa Rasilimali za umma kupitia Mradi wa Raia Makini waliochanguliwa na wananchi wameahidi…
22 August 2025, 3:45 pm
Mradi wa raia Makini wazidi kuimarisha ushiriki wa jamii
Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Kimagai wakiwa pamoja na Vinara wa uwajibikaji kupitia Mradi wa Raia Makini. Picha na Seleman Kodima. Mradi huu unatekelezwa katika mikoa 5 nchini Tanzania ambapo mkoani Dodoma unatekelezwa katika wilayani Mbili ambazo ni Bahi…
7 August 2025, 1:41 pm
Waratibu GEF watakiwa kuchakata taarifa kwa uadilifu
Kwa upande wake Mwakilishi kutoka Zanzibar, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sitti Ali ameishuruku Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum kwa kufanikisha ushiriki. Na Mariam Matundu.Waratibu wa Programu ya Kizazi chenye Usawa wametakiwa…