Radio Tadio

Migogoro

8 Januari 2026, 7:39 um

Khambay aahidi kukuza elimu Babati Mji

Mbunge wa jimbo la Babati Mjini Mhe Emmanuel Khambay amehaidi kusaidia wananchi wa jimbo hilo kupata Kituo cha kudurufu mitihani ya majaribio kwa wanafunzi wanaosoma sekondari ili kupandisha ufaulu wao kwa shule za serikali zilizopo jimboni kwake. Na Marino Kawishe Akizungumza…

7 Januari 2026, 3:13 um

TAHEA yawaandaa vijana kujikwamua kiuchumi

Picha ni Zaituni Ally Liyendikiye, Afisa Mradi kutoka Shirika la TAHEA, katika kipindi cha Dodoma Live. Picha na Noah Patrick. Shirika la TAHEA linaendelea kutoa wito kwa wadau mbalimbali kushirikiana katika kuwawezesha vijana, ili kujenga jamii yenye vijana wenye afya,…

5 Januari 2026, 4:46 um

Daraja jipya Mlowa laondoa kero ya usafiri kwa wananchi

Ujenzi wa daraja hilo unakadiliwa kutumia zaidi ya Milioni mia tano ukiwa chini ya usimamizi wa mamlaka ya usimamizi barabara vijijini TARURA. Na Victor Chigwada. Kukamilika kwa daraja linalounganisha kata za Mlowa barabarani, Iringa Mvumi na Makang’wa imekuwa chanzo cha…

18 Disemba 2025, 4:10 um

Mahudhurio hafifu mkutano wa mtaa mwenyekiti avunja kikao

Mkutano ulioitishwa ulikuwa na ajenda muhimu kama vile ardhi hivyo ni vigumu kuendesha ajenda hizo muhimu na kuchangia na mawazo ya watu wachache. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa Ihumwa A wametakiwa kuhudhuria mikutano ya mtaa ili kushiriki maamuzi…

13 Disemba 2025, 8:45 um

Milion 330.7 kujenga shule mpya Nyasura

Ujenzi huo utahusisha vyumba vya  madarasa 6, jengo la utawala, vyoo matundu 18, Pamoja na vyumba viwili vya madarasa vya elimu ya awali. Na Adelinus Banenwa Kutokana na msongamano wa wanafunzi shule ya msingi Nyasura iliyopo kata ya Nyasura mjini…

14 Oktoba 2025, 12:36 um

Mvua zatatiza shughuli Idifu, wananchi waomba daraja

Hali hiyo imekuwa ikisababisha usumbufu mkubwa kwa wakulima na wafanyabiashara hasa msimu wa masika. Na Victor Chigwada. Wananchi wa vitongoji vya Mugu na Mjiha, vilivyopo Kata ya Idifu, Wilaya ya Chamwino, wameiomba serikali kujenga daraja katika eneo la Nyika, ambalo…

14 Oktoba 2025, 12:13 um

Changamoto ya maji Chanhumba karibu kutatuliwa

Hatua ya kufungwa kwa transifoma mpya katika kijiji cha Chanhumba italeta faraja kwa wananchi waliokuwa wakikabiliwa na upungufu wa maji. Na Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji cha Chanhumba, Kata ya Handali, Wilaya ya Chamwino, wameanza kupata matumaini juu ya utatuzi…