Radio Tadio

Mazingira

9 June 2022, 15:41

Serikali yaendelea kukemea uharibifu wa mazingira

Na ;Victor Chigwada. Pamoja na wimbi la uharibifu wa mazingira unao kua kwa kasi kutokana na matumizi ya nishati ya mkaa na kuni Serikali umeendelea kukemea suala hili ili kulinda uoto wa asili Mwenyekiti wa Kijiji Cha Kazania Bw.Mganga Kuhoga…

31 May 2022, 13:16

Halmashauri ya jiji la Dodoma yaanzisha mpango wa kufanya usafi

Na; Fred  Cheti    Katika kuendelea kuimarisha usafi wa mazingira jijini hapa halmsahauri ya jiji la Dodoma kwa kushirikiana na wadau mabalimbali wa mazingira imeanzisha mpango wa kufanya usafi  siku ya jumamosi katika kata mabalimbali zilizopo jijini hapa. Afisa Mazingira jiji…

30 May 2022, 16:45

Waziri Jafo ahimiza utunzaji wa msitu wa Iyumbu Park

Na;Mindi Joseph .    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Seleman Jafo amesema eneo  la msitu la Iyumbu Park likihifadhiwa ipasavyo linaweza kuwa chanzo cha utalii. Eneo hilo lina zaidi ya hekari 3000 limekuwa eneo maalum…