Radio Tadio

Mazingira

26 Disemba 2025, 11:56

Viongozi watakiwa kutambua changamoto za wananchi Kigoma

Ili kuharakisha maendeleo kwa jamii viongozi hawana budi kushirikiana katika kuwahudmia wananchi na kutatua changamozo azo Na Hagai Ruyagila Viongozi wa Serikali na dini nchini wametakiwa kushirikiana kwa karibu na wananchi wao ili kutambua changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi kwa…

25 Disemba 2025, 11:36

Wakristo watakiwa kusherekea krismas kwa upendo Kigoma

Waumini wa dini ya Kikristo duniani kutumia Sikukuu ya Krismasi ya mwaka huu kuchagua matendo ya huruma, huku wakizingatia umoja na mshikamano. Na Orida Sayon Wakristo Mkoani Kigoma wametakiwa kuacha kusherehekea sikukuu ya kristmas kwa mazoea badala yake iwe sehemu…

23 Disemba 2025, 11:48

SHIMKIATA yakuza mila, tamaduni za asili kwa jamii Kigoma

Asili na jadi ni msingi wa kukuza, kuhifadhi na kuendeleza utamaduni na mila kwa kuzithamini na kuzifundisha kwa vizazi vipya na kuhakikisha jamki inabaki na utambulisho imara huku ikikua na kubadilika katika njia chanya. Na Tryphone Odace Wito umetolewa kwa…

23 Disemba 2025, 08:37

Wazazi, walezi waaswa kuwalinda watoto Kigoma

Jukumu la msingi la wazazi na walezi ni kuhakikisha watoto wanalindwa, wanalelewa kwa upendo na wanaishi katika mazingira salama ili waweze kufikia ndoto zao na kuchangia maendeleo ya jamii. Na Prisca Kizeba Wazazi na walezi wanapotekeleza wajibu wao ipasavyo, jamii…

17 Disemba 2025, 8:20 um

Wanawake kupewa elimu ya usalama mtandaoni

Serikali, asasi za kiraia na wadau wa teknolojia wametakiwa pia kushirikiana katika kuweka mifumo madhubuti ya kulinda watumiaji wa mitandao. Na Godfrey Mengele Jamii imehimizwa kuwapa elimu wanawake na wasichana kuhusu matumizi salama ya mitandao, ikiwemo kulinda taarifa binafsi, kutumia…

9 Disemba 2025, 12:32

Wachungaji watakiwa kuwa kielelezo cha kulinda maadili Kigoma

Katibu tawala Wilaya Kigoma Mganwa Nzota amesema wachungaji wana wajibu wa kuhakikisha wanalinda na kukemea maadili kwenye jamii ili kuwa na kizazi chenye maadili mema Na Prisca Kizeba Wachungaji Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuwa kielelezo katika kulinda mmonyoka wa maadili…

3 Disemba 2025, 13:57

Vijana waaswa kuwa wazalendo kwa jamii na Taifa

Vijana  Katika Manispaa ya Kigoma Ujiji  wameaswa kuacha kufanya   mambo yasiofaa katika jamii na Taifa kwa ujumla. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti  Msaidizi Mstaafu  wa makanisa ya CPCT Mkoa wa Kigoma, Mchungaji Augustino Japhari Kizeba wakati wa kilele cha sherehe za…

24 Novemba 2025, 9:10 um

Mitandao ya kijamii inavyogeuka jukwaa la kipato

Je, unatumia mitandao ya kijamii kwa burudani tu, au umetambua fursa ya soko iliyopo? Katika kipindi chetu cha KURUNZI MAALUM, tumechambua kwa kina namna ya kutumia ongezeko la watumiaji wa intaneti nchini kufanya biashara na kujiingizia kipato. Usikose: Kupata maana…

24 Novemba 2025, 14:34

Wakristo waaswa kufanya kazi na kuacha utegemezi

Wakristo wameaswa kufanya kazi kwa bidii na kuacha utegemezi Na Prisca Kizeba Waumi wa Dini ya Kikristo Katika Manispa ya Kigoma Ujiji wameaswa kufanya kazi ili waweze kuepukana na utegemezi na kujiletea maendeleo yao binafsi na kanisa kwa ujumla. Hayo…