Radio Tadio
30 Mei 2022, 4:45 um
Na;Mindi Joseph . Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Seleman Jafo amesema eneo la msitu la Iyumbu Park likihifadhiwa ipasavyo linaweza kuwa chanzo cha utalii. Eneo hilo lina zaidi ya hekari 3000 limekuwa eneo maalum…