Radio Tadio

Maji

2 November 2023, 11:51 am

Mkuu wa wilaya Kongwa awabana watendaji wa maji Mtanana

Hivi karibuni kikao hicho kilifanyika katika kata ya mtanana hii ni baada ya  kubaini uwepo wa harufu ya Ubadhilifu wa Mapato yanayokusanywa kupitia Miradi ya Maji katika Kata hiyo hali iliyopelekea kushamiri kwa matumizi ya fedha mbichi. Na Mariam Kasawa.…

16 October 2023, 6:44 pm

Wakazi wa Handali walalamika kukosa maji safi na salama

Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA wapo kwenye mpango wa bajeti katika  kuhakikisha miundombinu ya maji katika kijiji cha Handali inafufuliwa. Na Mindi Joseph. Kusimama kwa Mradi wa Maji unaogharimu zaidi ya Milioni 600 katika kijiji cha…

16 October 2023, 2:18 pm

Mtoto wa miaka 3 afa maji wilayani Sengerema

Ikumbukwe mwezi September watoto wanne walipoteza maisha kwa kuzama kwenye bwawa kata ya Katunguru na kufanya jumla ya watoto sita kufa maji maeneo tofauti tofauti wilayani Sengerema kwa mwaka huu 2023. Na;Emmanuel Twimanye. Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka…

9 October 2023, 3:06 pm

Chongolo amtaka Waziri wa maji kufika Karema na Ikola

Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi taifa Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa maji Juma Aweso kuhakikisha anafika kata za Karema na Ikola Kutatua changamoto ya maji Na John Benjamin – Tanganyika Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi taifa Daniel Chongolo…

5 October 2023, 20:35

Bilioni 5 zawanufaisha wananchi ujenzi mradi wa maji Mbarali

Maji ambayo imekuwa ikitajwa kuleta migogoro ya kindoa, kwa ujumla kero hiyo imekuwa ikitatuliwa pindi ambapo mamlaka yenye wajibu wa kupeleka huduma inapopeleka eneo husika, huku wajibu wa kutunza mradi huo likibaki wa watumiaji ambao ni wananchi. Na mwandishi wetu…

4 October 2023, 7:29 pm

Gilyoma: Bunda kutumia mita mpya za maji

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Bunda BUWSSA inatarajia kufunga mita mpya takribani 6000 na kuondoa mita za zamani Na Catherine Msafiri Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Bunda (BUWSSA) Bi. Esther Gilyoma, amesema…