Radio Tadio

Maji

31 January 2024, 08:39

Wizara ya Maji yaishukru UNICEF

Na Ezekiel Kamanga Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amefanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake na Watoto Duniani (UNICEF) nchini Tanzania Bi. Elke Wisch. Mazungumzo yamefanyika katika ofisi za…

25 January 2024, 16:04

Bilioni 30 kutumika mradi wa maji wa miji 28 Kasulu

Zaidi ya bilioni 30 zimetengwa na Serikali katika halmashauri ya mji kasulu kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji wa miji 28 kasulu mjini ambao unajengwa kata ya kumnyika katika halmashauri hiyo. Michael Mpunije Kutoka Wilaya ya Kasulu ametuandalia…

23 January 2024, 8:00 pm

Aweso aitaka Duwasa kumaliza tatizo la maji UDOM

Kwa mujibu wa makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma UDOM anasema chuo hicho kinakadiriwa kuwa na wanafunzi takribani elfu 36 hivyo kuchangia ongezeko la uhitaji wa huduma ya maji katika chuo hicho. Na Thadei Tesha.Waziri wa maji mh Juma…

20 January 2024, 9:48 am

Mradi wa Kata 5 kunufaisha watu zaidi ya laki moja Geita

Serikali imedhamiria kumaliza changamoto ya maji kwa kuendelea kutekeleza miradi mikubwa ya maji hususani vijijini. Mrisho Shabani: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 10.8 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji wa…

16 January 2024, 12:43 pm

Upatikanaji wa maji Bunda kufikia 92% mwaka huu

Mamlaka ya maji Bunda BUWASSA imesema miradi yote ya maji inayotekelezwa mjini Bunda ikikamilika itafanya upatikanaji wa maji mjini Bunda kufikia asilimia 92. Na Adelinus Banenwa Mamlaka ya maji Bunda BUWASSA imesema miradi yote ya maji inayotekelezwa mjini Bunda ikikamilika…

3 January 2024, 10:27 am

Zaidi ya vijiji 5 maji ni changamoto Geita

Vijiji vitano vya kata ya Bukondo mkoani Geita havina huduma za maji huku zahanati ya Bukondo inayohudumia vijiji vitano katika kata hiyo ikiwa na watumishi wawili tu. Na Zubeda Handrish- Geita Wananchi wa kata ya Bukondo mkoani Geita wamemweleza changamoto…