Radio Tadio

Maji

12 April 2023, 6:35 pm

Wananchi wengi hawafahamu gharama za maji kwa lita

Tayari DUWASA imeomba marekebisho ya bei za maji hadi mwaka 2026 ili kukidhi marekebisho ya miundombinu ya maji. Na Mindi Joseph. Kwa Mujibu wa ufuatiliaji uliofanywa na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Nishati na Maji Ewura CCC…

12 April 2023, 4:46 pm

Ibihwa watarajia kuondokana na adha ya maji

Mradi wa maji kata ya Ibihwa unatekelezwa na Serikali ya Tanzania kupitia RUWASA wilaya ya Bahi na kusimamiwa na kampuni ya Prest Water and Civil works. Na Bernad Magawa Mradi mkubwa wa maji unaojengwa katika kijiji cha Ibihwa unatajiwa kuanza…

10 April 2023, 12:53 pm

Kukatika kwa Umeme kunaathiri upatikanaji wa maji Kongwa

Duwasa imeendelea kuhimiza utunzaji wa miundombinu ya maji safi iliyopo katika maeneo yao ili iweze kudumu kwa muda mrefu. Na Miandi Joseph. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira  Dodoma (DUWASA) imesema kukatika mara kwa mara kwa huduka ya umeme…

4 April 2023, 5:49 am

Wananchi Kayenze Walia Ucheleweshwaji wa Mradi wa Maji

KATAVI Wananchi wa Kayenze kata ya Katuma Wilayani Tanganyika Mkoani Katavi wameiomba serikali kumhimiza mkandarasi anayejenga mradi wa maji kukamilisha mradi kwa wakati. Wananchi Kwa nyakati Tofauti wameiambia Mpanda radio kuwa kumekuwa na adha kubwa ya upatikanaji wa maji safi…

20 March 2023, 3:07 pm

Wananchi walalamika kutumia maji yasiyo salama

Wakazi walalamika kutumia maji ya mto kizigo ambayo sio safi na salama baaada ya kuharibika kwa mashine ya kusukuma maji. Na Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Chinugulu wilayani chamwino wamelalamika kutumia maji ya mto kizigo ambayo sio safi na…