Radio Tadio

Maji

12 September 2023, 5:10 pm

WWF: Mto Mara ulindwe na utunzwe

Kupitia Maadhimisho ya 12 ya siku ya Mto Mara, Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira WWF limeeleza mikakati linayoifanya kuulinda Mto Mara. Na Edward Lucas Wananchi mkoani Mara wametakiwa kuendelea kutunza rasilimali ya Mto Mara ili kuifanya kuwa endelevu.…

11 September 2023, 5:25 pm

BUWSSA: Wizi wa maji Bunda haukubaliki

Tatizo la wizi wa maji ndani ya mji wa Bunda lipo na wanaendelea kukamata watu wote wanaojihusisha na wizi huo pia mamlaka haipendezwi na tabia hizo. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi wilayani Bunda mkoani Mara kuacha tabia ya…

28 August 2023, 1:52 pm

Busanda waomba vituo vya kuchotea maji viongezwe

Serikali kupitia wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini RUWASA imeendelea kusogeza huduma hiyo hadi maeneo ya vijijini ambayo yalikuwa yakikabiliwa na changamoto ya maji safi. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Busanda wilayani Geita wameiomba serikali…

24 August 2023, 11:15 am

Wilaya ya Kilolo wasaini mradi wa maji wa bilioni 1.6

Na Frank Leonard WANANCHI katika Vijiji vitatu vya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji wa Masalali, Masege na Kihesa Mgagao ambao ujenzi wake unatarajiwa kuanza hivi karibuni ukigharimu zaidi ya Sh Bilioni 1.6. Kukamilika kwa…

15 August 2023, 9:55 am

Mabadiliko ya bei kuongeza upatikanaji wa maji Dodoma

Ongezeko hilo la bei za maji limechangiwa kwa kiasi kikubwa na mabadiliko ya kiuchumi duniani. Na Selemani Kodima. Baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) Kuweka wazi mabadiliko ya bei za huduma za maji zitakazoanza kutumika…