MAENDEDELEO
16 January 2023, 1:54 pm
Tathmini ya malengo yatajwa kuwa muongozo mzuri wa kukamilisha mipango
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa ni muhimu kufanya tathimini ya malengo au mipango yako kila wakati ili kujua iwapo mpango wako utatekelezeka hali itakayosaidia kukamilisha mipango yako kwa wakati uliupanga. Hayo yameelezwa na mtaalamu wa masuala ya mipango Dkt George…
9 December 2022, 6:23 AM
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 09, Mwaka huu- MASASI
Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 09, Mwaka huu, Mkuu wa Wilaya Bi. Claudia Kitta ameungana na Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali pamoja na Wananchi Wilayani hapa pamoja na kufanya usafi wa mazingira kwenye…
19 September 2022, 4:20 pm
Serikali yatenga Bil. 3 ujenzi Hospitali ya rufaa
Serikali, imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 3 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel hii leo Septemba 19, 2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu…
6 September 2022, 10:16 am
Karani Wa Sensa Aona Miti Badala Ya Nyumba-Tabora
Mratibu wa wa sensa katika Wilaya ya Igunga Ally Hemed amesema kwamba Karani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora, alishindwa kuifikia kaya moja iliyopo katika kijiji cha Migelele, Kata ya Lugubu wilayani humo baada ya kuchezewa kiini macho na kuona miti kila…
July 14, 2022, 6:03 pm
Ukarabati wa soko la Malunga kukamilika baada ya wiki mbili
Zoezi la ukarabati miundombinu ya soko la Malunga Mansipaa ya Kahama mkoani Shinyanga kwa ajili ya gulio linaendelea na linatarajiwa kukamilka wiki mbili zijazo. Akizungumza na Huheso Fm leo julai 14, 2022 Mwenyekiti wa masoko na magulio manispaa ya…
8 July 2022, 14:52 pm
Fahamu uhusiano uliopo kati ya Jamii na kampuni za gesi
Fahamu ushirikiano ulipo kati ya jamii na kampuni ya gesi katika kiwanda kilichopo kata ya Madimba mkoani Mtwara. Makala haya yanaangazia namna gani wananchi wanaweza kupata ajira katika eneo hilo la uchakataji wa Gesi asilia katika kata ya Madimba …
July 6, 2022, 8:02 pm
Maafisa Manispaa ya Kahama wapatiwa pikipiki za utekelezaji majumu yao
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga imegawa jumla ya pikipiki 19 kwa Maafisa kilimo, Bibi maendeleo ya jamii na watendaji katika Kata za Manispaa hiyo Akizungumza baada ya zoezi la ugawaji wa pikipiki hizo Mstahiki Meya wa Manispaa ya…
6 September 2021, 11:31 am
Kwa mujibu wa UNICEF silimia 70 ya watoto wa kike Duniani kote wamewahi kupitia…
Na; Fred Cheti. Takwimu kutoka shirika la kuhudumia watoto Duniani UNICEF zinaonyesha kuwa takriban watoto wa kike wenye umri wa miaka 15 na 19 duniani kote zaidi ya asilimia 70, wamewahi kupitia aina fulani ya ukatili wa kimwili tangu walipokuwa…