Kilimo
29 November 2023, 3:01 pm
Wakulima watakiwa kufanya machaguo sahihi ya mbegu
28 November 2023, 11:49
Kyela walia na mkandarasi wa mradi wa umwagiliaji Makwale
Baada ya kushindwa kukamilika kwa wakati kwa mradi wa umwagiliaji wa Makwale hapa wilayani Kyela wananchi wanaunda kata za Makwle,Ndobo na Lusungo wameiomba serikali ya halmaashsuri ya wilaya ya kyela kuingilia kati kukamilika kwa mradi huo.Na Nsangatii Mwakipesile Kutokana na…
27 November 2023, 12:42 pm
Wizara ya kilimo yafanya tathmini utoshelevu wa chakula nchini
Amesema moja ya changamoto inayokwamisha upatikanaji wa masoko ya uhakika nje ya nchi ni kukosekana kwa tija hii inasababishwa na kutokidhi viwango vinavyotakiwa kuanzia kweye ubora,wingi,mabadiliko ya bei sokoni na kuhakikisha kuwa muda wote tunasambaza bidhaa masokoni. Na Alfred Bulahya.…
25 November 2023, 8:47 pm
Mrajis wa vyama vya ushirika azindua miradi yenye thamani ya mil. 890 Karagwe
Na Eliud Henry Karagwe Mrajis na Mtendaji Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amezindua miradi ya Shilingi 899,123,987 iliyotekelezwa kwa fedha za ruzuku ya jamii zilizotokana na mauzo ya Kahawa Maalum kwa msimu wa mwaka…
23 November 2023, 3:53 pm
Bei elekezi ya parachichi iliyotolewa na serikali yawanufaisha wakulima Rungwe
Kutokana na kuwepo kwa wanunuzi wanaowadanganya wakulima, serikali imeamua kutoa bei inayotakiwa kampuni zinunue parachichi ili kumkomboa mkulima. Mkuu wa mkoa akizungumza na wadau wa parachichi[picha na Lennox Mwamakula] Afisa kilimo wa wilaya Juma Mzala amebainisha utaratibu wakufuata kwa mnunuzi…
20 November 2023, 12:24 pm
Geita kuzalisha hekta zaidi ya laki tano za mazao ya chakula
Geita kuondoa vikwazo kwa wakulima ikiwemo kutatua changamoto ya upatikanaji wa mbolea ili kufikia malengo ya uzalishaji wa mazao ya chakula kwa wingi. Na Mrisho Sadick – Geita Mkoa wa Geita umekusudia kuzalisha Hekta zaidi ya laki tano za chakula…
18 November 2023, 12:44 pm
Uzinduzi wa msimu wa kilimo biashara mkoa wa Mtwara
Wadau wa kilimo kila mmoja anawajibika katika kutekeleza majukumu yake ili kufikia malengo tuliyojiwekea kama mkoa ikiwepo kuondoa changamoto zinazowakabiri wakulima Na Musa Mtepa Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abasi Novemba 17, 2023 amefanya uzinduzi wa msimu wa…
16 November 2023, 1:08 pm
Chai yenye ubora chachu ongezeko la bei
Imetajwa kuwa ongezeko la bei ya chai sokoni inategemea ubora wa majani mabichi ya chai kwani huzalisha majani makavu yenye kiwango kizuri hali inayopelekea kuuzwa kwa bei nzuri katika soko la kimataifa. Na Sabina Martin: Rungwe-Mbeya Kufuatia kuzinduliwa kwa mnada…
16 November 2023, 12:24 pm
TARURA Rungwe yatakiwa kuboresha barabara za vijijini zipitike kipindi chote
Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini TARURA katika wilaya ya Rungwe wametakiwa kujenga miundombinu ya barabara za vijijini ili zipitike wakati wote hususani wakati wa mvua ili kurahisisha usafirishaji wa majani mabichi ya chai kutoka shambani hadi kiwandani. Hayo…
15 November 2023, 17:51
Zaidi ya wakulima 1326 na maafisa ugani 20 wamepatiwa elimu kilimo bora
Na Ivillah Mgala Zaidi ya wakulima 1326 na maafisa ugani 20 kupatiwa elimu na mafunzo ya kilimo katika halmashauri ya wilaya ya mbarali mkoani Mbeya. Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya mbarali mkoani Mbeya Kanali Denis Mwila katika hafla…