Kilimo
31 Machi 2023, 6:50 um
Tishio la upungufu wa Chakula Dodoma
Upungufu wa mvua umepelekea mazao yaliyopandwa kushindwa kuvunwa kama matarajio ya Mkoa yalivyokuwa. Na Mindi Joseph. Mkoa wa Dodoma unakabiliwa na tishio la kupata upungufu wa chakula kwenye baadhi ya maeneo kutokana na mvua zilizotarajiwa kwa msimu huu kunyesha chini…
29 Machi 2023, 5:38 um
Serikali yaanza kudhibiti ndege waharibibu Bahi
Na Fred Cheti. Serikali wilaya Bahi imesema tayari imeshaanza kuchukua hatua ili kuwaangamiza ndege hao. Ndege hao aina ya Kwerea Kwerea wanaoharibu mazao katika vijiji vya Lukali,Mundemu ,Mayamaya na Zanka vilivyopo wilayani Bahi. Hayo yameelezwa na Mkuu wa wilaya ya…
28 Machi 2023, 5:32 um
Ilindi inatekeleza kilimo cha mtama ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Kilimo cha mtama mweupe ambao umekuwa ukihamasishwa na viongozi mbalimbali wilayani Bahi kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Na Bernad Magawa Wakulima wa kijiji cha Ilindi wialayani Bahi wameanza kutekeleza kwa vitendo suala la kilimo chamtama mweupe…
28 Machi 2023, 4:46 um
Wananchi Membe watarajia kunufaika na kilimo cha umwagiliaji
Na Mindi Joseph Ujenzi wa Bwawa la kilimo cha umwangiliaji Membe Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma umefikia asilimia 35 huku ujenzi huo ukitarajiwa kukamilika mwezi Augosti 2023. Taswira ya Habari imezungumza na Mhandisi Saleh Ramadhan ambaye ni msimamizi mkuu wa ujenzi…
27 Machi 2023, 2:20 um
Wananchi Kondoa wasisitizwa kilimo cha umwagiliaji
Mhe. Rosemary Senyamule amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kujikita katika kilimo Cha Umwagiliaji Ili kuondoa Janga la njaa, kujiongezea kipato na kukabiliana na mabadiliko ya tabi ya nchi. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule…
22 Machi 2023, 7:46 mu
Uwepo wa wadhamini wa kilimo umeongeza tija katika mazao Katavi
KATAVIUwepo wa Wadhamini wa kilimo katika mkoa wa katavi utasaidia ukuaji wa maradufu wa tija ya uzalishaji katika mazao mkoani hapa. Akiongea katika kongamano la Wadau wa Sekta ya Kilimo wa Pass Trust kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa…
17 Machi 2023, 4:27 um
Juhudi za serikali kuinua kilimo na wakulima wa zabibu Dodoma
Serikali kupitia wizara ya kilimo imeanza kulifufua shamba la Zabibu lililopo eneo la Chinangali 2 mkoani Dodoma, ufufuaji wa shamba hilo unakwenda sambamba na ujenzi wa kiwanda kikubwa kwa ajili ya kuchakata zabibu hizo. Na Alfred Bulahya. Serikali kupitia wizara…
17 Machi 2023, 2:44 um
WAKULIMA WA MPUNGA WAMPA KONGOLE BI MAIBA AFISA UMWAGILIAJI.
Na Amina Massoud Jabir Wakulima wa mpunga wa umwagiliaji bonde la Kindani na Machigini wilaya ya mkoani pemba wamepongeza juhudi zinazichokuliwa na kiongozi mwanamke katika kuwasimamia namna bora ya uzalisahji wa mazo yao. Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi wakulima…
13 Machi 2023, 3:43 um
Wananchi wilayani Bahi wasisitizwa kulima mtama
Mheshimiwa Godwin Gondwe amewaagiza wananchi wilaya ya Bahi kuhakikisha kila kaya inalima ekari mbili za mtama ili kuepuka adha ya kukosa chakula. Na Benard Magawa. Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gondwe amewaagiza wananchi wilayani humo kuhakikisha kila kaya…
9 Machi 2023, 12:57 um
Vijana wanufaika na mashamba kutoka Manispaa ya Mpanda
KATAVI Manispaa ya Mpanda imetoa mashamba kwa vijana ambao hawakuchaguliwa kushiriki Mafunzo ya BBT-YIA (Building a Better Tommorow Youth initiative for agriculture ) yaliyo ratibiwa na wizara ya kilimo na kutolewa February 15 Mwaka huu jijini Dodoma. Afisa kilimo, mifugo…