Radio Tadio

Kilimo

30 January 2023, 1:45 pm

Wakulima watakiwa kulima kilimo cha Ikolojia.

Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa wakulima wilaya ya Kilosa wametakiwa kulima kilimo ikolojia ambacho ni Kilimo rafiki kwa mazingira na kinasaidia kupunguza gharama za kununua madawa na mbolea kwa ajili ya kustawisha mashamba na kuua wadudu kwenye mazao.…

30 January 2023, 9:02 am

Wakulima Kongwa kupambana na wadudu

Na; Mariam Kasawa. Wakulima katika wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma wametakiwa kuchukua hatua mapema za kupambana na wadudu waharibifu wa mazao. Akiongea na taswira ya habari Afisa kilimo wilaya ya Kongwa Bwana Jackson shida anasema….. Pia Shija amewataka wakulima kuchukua…

25 January 2023, 10:44 am

Zaidi ya Miti Millioni Mbili Inataraji Kupandwa Tanganyika

MPANDAJumla ya miti milioni mbili na elfu kumi na nne inatarajiwa kupandwa katika maeneo mbalimbali wilayani Tanganyika mkoani katavi. Hayo yamesemwa na Mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa wilaya ya mpanda Jamila Yusufu wakati wa uzinduzi wa zoezi la upandaji…

24 January 2023, 8:41 am

Tumieni mbolea muongeze tija katika kilimo

Wakulima wametakiwa kutumia mbolea ya ruzuku ya serikali ambayo huuzwa kwa thamani ya mfuko shilingi elfu Sabini (70,000/=) ili kuongeza tija ya uzalishaji katika sekta ya kilimo huku ikielezwa kuwa kilimo cha mazoea kinatajwa kuwadidimiza wakulima kupata mavuno haba. Hayo…

22 January 2023, 10:04 am

KILIMO CHA MBAAZI

Na; Mariam Kasawa Licha ya zao la mbaazi kutumika kama matumizi mbalimbali kama mboga , chakula huku zao hili likifundishwa na wataalamu kuwa linaweza kuwa zao la biashara kwa kutengenezea vitu mbalimbali kama uji, supu, biscuti , cake, makande lakini…

19 December 2022, 8:35 am

Bahi watakiwa kulima mazao yanayo stahimili ukame

Na; Benard Filbert. Wakulima wa kata ya Bahi wilaya ya Bahi mkoani  Dodoma wameshauriwa kupanda mazao ambayo yanahitaji mvua kidogo ili kukabiliana na  mabadiliko ya hali ya hewa. Ushauri huo umetolewa na Diwani wa Kata hiyo  Agustino Mdunuu wakati akizungumza…

16 December 2022, 12:16 pm

Mbolea ya ruzuku kilio kwa baadhi ya wakulima

RUNGWE- MBEYA NA JUDITH MWAKIBIBI Kutokana na kukosekana kwa mbolea ya ruzuku kwa baadhi ya maeneo Wilaya Rungwe Mkoani Mbeya wakulima wametakiwa kuwa na subira wakati serikali ikiendelea kulishughulikia suala hilo. Hayo yamebainishwa na afisa kilimo wilayani hapa Bw Juma…