Kilimo
12 Novemba 2024, 11:10
Watoto 5,632 kuandikishwa na 2001 kurejeshwa kwa kukatisha masomo Kigoma
Kampeni ya kuwaandikisha na kuwarejesha shuleni watoto walio nje ya mfumo wa shule ngazi ya elimu ya msingi imezinduliwa mkoani kigoma ikiwa na lengo la kukabiliana na changamoto zinazosababisha wanafunzi wanafunzi kutoandikishwa kuanza shule au kukatisha masomo yao. Na Josephine…
11 Novemba 2024, 14:02
Wahitimu wa mafunzo ya biblia waaswa kuhubiri matendo mema
Wahitimu wa mafunzo ya biblia katika chuo cha biblia Dar es salaam tawila Kigoma wametakiwa kuisaidia jamii kuachana na vitendo viovu ambavyo vimekuwa vikifanyika na kusababisha baadhi ya makundi mbalimbali kuathirika ikiwemo ukatilii na uvunjifu wa amani. Na Timotheo Leonard…
8 Novemba 2024, 17:53
Hali ya upatikanaji wa maji vijijini ni asilimia 74 Kigoma
Mkuu wa Mkoa Kigoma, Thobias Andengenye ameutaka Wakala wa Maji Mijini na Vijijini (RUWASA) Mkoa Kigoma kuhakikisha upatikanaji wa vitendea kazi kwenye sekta ya maji unajibu mipango ya Rais Samia katika kusogeza huduma karibu na wananchi ya kumtua mama ndoo…
7 Novemba 2024, 12:41
FDC Kasulu yaomba serikali kukamilisha jengo la kituo cha kulea watoto
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo ili kuhakikisha wanasaidia kukamilisha ujenzi wa jengo la kulea watoto lililopo katika chuo cha maendeleo ya wananchi Kasulu FDC. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa chuo cha maendeeo ya wananchi…
7 Novemba 2024, 9:23 mu
Maswa:Wanawake wahimizwa kuchota mafedha Halmashauri
Wakazi wilayani Maswa Mkoani Simiyu mbioni kunufaika na mikopo ya 10% inayotengwa na Halmashauri kutoka kwenye mapato yake ya ndani baada ya Serikali kusitisha zoezi hilo toka April,2023/2024. Na,Alex Sayi Wanawake na Samia wilayani Maswa Mkoani Simiyu wamehamasishwa kuchangamkia fursa…
5 Novemba 2024, 13:09
Wahudumu wa afya watakiwa kutoa elimu ya uzazi Kasulu
Serikali kupitia idara ya katika Halmashauri ya mji wa Kasulu Mkoani Kigoma imewataka wanawake hasa wajawazito kuhidhuria kliniki na kutumia dawa wanazoelekezwa na wataalamu wa afya waweze kujifungu watoto wakiwa hawana matatizo. Na Michael Mpunije – Kasulu Baadhi ya wanawake…
28 Oktoba 2024, 15:32
Madaktari bingwa waweka kambi hospitali ya rufaa maweni Kigoma
Madaktari bingwa na mabingwa bobezi 31 wameanza Kambi ya matibabu ya Siku Tano ikiwa ni katika kuadhimisha miaka Hamsini (50) tangu kuanzishwa kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma Maweni. Na Lucas Hoha – Kigoma Wananchi Mkoani Kigoma wamepongeza…
28 Oktoba 2024, 13:03
Wahitimu FDC Kasulu watakiwa kuwa wabunifu kujipatia kipato
Katibu tawala wilaya Kasulu Mkoani Kigoma Bi. Theresia Mtewele amesema tayari serikali imefungua zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halamshauri kupitia mapato ya ndani na hivyo vijana wanaohitimu mafunzo ya ufundi hawana budi kuchangamkia fulsa hiyo…
24 Oktoba 2024, 12:14
Kamati vyama vya siasa yaridhishwa mwenendo wa uandikishaji
Viongozi wa siasa mkoani Kigoma kupitia Umoja wa vyama vya siasa mkoani hapa wameeleza kuridhishwa na zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wakazi kwa ajili ya kupata sifa ya kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27,2024. Na, Josephine…
24 Oktoba 2024, 09:06
Watendaji watakiwa kuwa wabunifu utoaji wa chakula shuleni
Serikali wilayani Buhigwe imesema inaendelea kuweka mikakati mbalimbali ya kukabiliana na tatizo la udumavu kwa watoto ikiwa ni pamoja na kusimamia suala la chakula shuleni ili wanafunzi waweze kupata chakula. Na Emmanuel Kamangu – Buhigwe Mwenyekiti wa kamati ya lishe…