Radio Tadio

Jinsia

20 March 2023, 4:56 pm

Wanawake wawe mstari wa mbele mtoto wa kike kupata elimu

KATAVI Wanawake Mkoani Katavi wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuwahamasisha watoto wa kike juu ya umuhimu wa elimu sambamba na kuwaeleza fursa zinazotolewa na serikali ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao . Wito huo umetolewa hivi karibuni na Mkuu wa…

4 March 2023, 6:12 pm

RC Katavi alia na matukio ya ukatili, ushoga

KATAVI Mkuu wa mkoa Wa Katavi Mwanamvua Hoza mrindoko amelitaka Jeshi la Polisi Mkoani Katavi kupitia Kitengo cha dawati kuandaa mikakati ya Kupambana na Matukio ya unyanyasi wa kijinsia kwa watoto na ulawiti yanayoendelea kushika kasi mkoani Katavi. Akizungumza Katika…

3 February 2023, 3:54 pm

Akamatwa na jeshi la polisi kwa kumshushia kipigo mtoto mdogo

Mama mlezi aliyemshambulia kwa kipigo kikali  mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya  Msingi Bukala  Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza    na kumjeruhi vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake  kwa madai ya kukojoa kitandani  hatimaye amekamatwa na jeshi la Polisi wilayani…

26 May 2022, 9:49 am

RUNGWE-MBEYA NA:LETHISIA SHIMBI Jamii wilayani Rungwe mkoani Mbeya imetakiwa kuachana na mtazamo hasi kuhusu watu wenye ulemavu badala yake wametakiwa kujumuika kwa pamoja na kushirikiana katika mambo mbalimbali. Rai hiyo imetolewa na Meneja wa shirika la TRAIDCRAFT EXCHARGE Ndg Ledis…