Radio Tadio

Jamii

15 February 2023, 2:11 pm

PrecisionAir yashindwa kutua Dodoma

Leo Wakati tunasafiri kutokea Dar kwenda Dodoma kutumia ndege ya Precission PW 600, kuna jambo limetokea. Na Joseph Rwegasira Samson. tupo hewani nilikuwa nimekaa dirishani, wakati tunakaribia kushuka Dodoma nikaona engine imezima, tupo hewani OMG…Rubani akatangaza kurudi Dar kwa dharula…

10 February 2023, 1:45 pm

Huduma za kijamii zazidiwa na ongezeko la watu

Waziri wa Nishati na Madini Januari Makamba mwaka jana dec 25 alisema kuwa  Wizara inaanza program ya kupeleka umeme kwenye vitongoji. Kwani tayari serikali imefikia asilimia 75 katika kufikisha umeme vijijini Na Victor Chigwada.                                                          Imeelezwa kuwa ongezeko la watu…

7 February 2023, 13:31 pm

Mamcu & Tanecu zarejesha kwa jamii

Chama Kikuu cha Ushirika wa Mazao cha Masasi, Mtwara Cooperative Union (MAMCU) na Tandahimba, Newala Cooperative Union (TANECU) vimetoa Gawio la Shilingi Milioni 253 kuchangia utatuzi wa changamoto zilizopo katika sekta za Elimu, Maji na Afya kwa mkoa wa Mtwara.…

2 February 2023, 4:35 pm

Wadau Ihumwa waishukuru Dodoma fm

Wakiwa kwenye mahojiano leo Leornad Mwacha na Mdau kutokea Ihumwa ndugu Julius Chedego wamezungumza na mdau huyo kutoa shukrani zake juu ya radio hiyo. Na Martha Mgaya Mmoja wa wadau wa Dodoma fm Bwana Julius Chedego leo katika kipindi cha…

31 January 2023, 12:23 pm

Hekima na busara, sababu ya amani msimbati

Jaji Mfawidhi wa Makahama Kuu ya Kanda ya Mtwara Mhe.Zainab Muruke amemtaja mzee Issa Mohamed Mkumba kuwa ni kinara wa kutatua changamoto za migogoro katika jamii bila kufikishana katika vyombo vya usuluhishi na Mahakama. Na Hamza Ally Mzee Mkumba amekua…

30 January 2023, 4:17 PM

Upendo Charity yaguswa na tatizo la Salma

Kikundi kinachosaidia watu wenye uhitaji kilichopo Wilayani Masasi,Mkoani Mtwara, kinachofahamika kama Upendo Charity kimeguswa na tatizo la mtoto Salma Pascha Machemba, mwenye umri wa miaka tisa (9) ambaye anaishi Kijiji cha Matekwe Majenanga, huko Nachingwea Vijijini. Salma ni mlemavu wa…