Radio Tadio

Habari za Jumla

29 Mei 2024, 3:04 um

TRA watoa siku 14 wafanyabiashara kuwa na mashine za EFD Maswa

Ukikwepa kulipa kodi maana yake umekubali kuliingizia hasara Taifa lako na kupelekea kudumaza shughuli za kimaendeleo tulipeni kodi kwa hiari kwa kutoa EFD mashine kwa waliokidhi vigezo. Na,Daniel Manyanga  Mamlaka ya mapato nchini TRA wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imetoa…

29 Mei 2024, 09:55

Serikali yapongezwa udhibiti, ramli chonganishi

Serikali wilayani kasulu imesema iitaendelea kuhakikisha ulinzi na usalama unaimarishwa kwa kuwachukulia hatua wale wote watakaoonyesha vitendo vya uvunjifu wa amani kwenye jamii ikiwemo ramli chonganishi. Na Michael Mpunije – Kasulu Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma…

25 Mei 2024, 11:26 um

ALAT yaipongeza Ngorongoro

Mbali na fedha za kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Ngorongoro kutoa serikalini pia kumekuwa na wadau wanaotoa fedha za kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kushirikiana na halmashauri, wadau hao nikama vile KWF,TANAPA na wengineo. Na Zacharia James Jumuia ya…

17 Mei 2024, 14:41

Serikali yagawa vifaa kwa shule zenye wanafunzi wa MEMKWA

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuhakikisha inaboresha elimu nchini kwa wanafunzi. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma Mwl. Vumilia Simbeye amekabidhi vifaa vya shule kwa wakuu wa shule 16…

17 Mei 2024, 11:56 mu

Maswa kuvuna pamba chini ya lengo

Kutokana na mvua kuwa kubwa kunyesha msimu huu wa kilimo kwa mwaka 2023/2024 zilizopelekea mavuno ya pamba kushuka wilaya ya Maswa inatarajia kukusanya mapato chini ya makadirio ya awali. Na, Daniel Manyanga Zaidi ya tani elfu ishirini na mbili za…

Mei 16, 2024, 6:27 um

Watoto wafariki wakiogelea bwawani Shinyanga

Watoto watatu wakazi wa Kata ya Tinde Wilaya ya Shinyanga, Mkoa wa Shinyanga wamefariki dunia baada ya kuzama katika bwawa la Ngaka lililopo katika kijiji cha Nyambuhi walipoenda kuogelea. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio wamesema tukio hilo limetokea Mei…

Mei 16, 2024, 6:09 um

Mgogoro wa miaka 25 soko la Magwanji Kahama watatuliwa

Na Neema Nkumbi- Huheso Fm Wakazi wa Mtaa wa Nyakato, Kata ya Nyasubi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wameishukuru serikali ya Mtaa huo, kwa kumaliza mgogoro wa soko la Magwanji uliodumu kwa Zaidi ya miaka 25 uliokuwa ukikwamisha kuanza…

16 Mei 2024, 10:53

Makanika atoa msaada kwa waathirika wa mafuriko

Serikali imesema itaendelea kuwasaidia wananchi walipata madhara ya nyumba na mali zao kuharibika kufuatia mvua zilizonyesha na kuacha simanzi kwa wananchi katika vijji vya jimbo la kigoma kaskazini ikiwemo pamila, nyarubanda na mwamgongo. Na Tryphone Odace – Kigoma Dc Wananchi…