Radio Tadio

Habari za Jumla

11 March 2024, 16:47

Rwizile: Haki za mtoto hazigawanyiki

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma Mhe. Augustine Rwizile amesema kila mtu ana haki ya kulinda na kuthamini haki za mtoto kwani haki hizi hazigawanyiki. Na, Mwandishi wetu Winfrida Ngassa. Mh Augustine Rwizile amesema hayo wakati…

11 March 2024, 15:36

Serikali yabaini uwepo wa maabara bubu Kasulu

Wananchi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kufuata huduma za afya katika vituo vinavyotambuliwa na serikali baada ya kubainika uwepo wa maabara Bubu ambayo imekuwa ikitoa huduma za vipimo  kinyume cha sheria. Akiwa katika ukaguzi wa usafi wa Mazingira katika mtaa…

11 March 2024, 2:07 pm

Diwani avunja kamati ya shule

Baada ya wazazi na walezi kuonesha kutokuwa na imani na kamati ya shule imemlazimu diwani kuingilia kati suala hilo. Na Cleef Mlelwa – Wanging’ombe Diwani wa kata ya Kijombe Seylvester Kigola ameagiza kuvunjwa kwa kamati ya shule ya msingi Ikwavila…

8 March 2024, 16:27

Kyela: Vijana 10 wa greengard wakabidhiwa sare Itunge

Vijana wa chama cha mapinduzi uvccm  kata ya itunge wilayani kyela wamekabidhiwa sale aina kombati kwa ajili ya mandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024-2025. Na Emmanuel Jotham Vijana kumi (10) wa Green Gard walio kwenda mafunzo kupitia chama…

8 March 2024, 4:17 pm

Wanawake wahimizwa kushiriki ngazi za uongozi

Ili kuhakikisha uchumi wa familia unaimarika, wanawake wametakiwa kutambua nafasi zao kwenye jamii. Serikal imetakiwa kuhakikisha inaendelea kuwakwamua wanawake kiuchumi na kijamii ili kuweza kufikia maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Katibu tawala wa wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa…

8 March 2024, 16:09

Nyani aingia ndani na kumjeruhi mtoto Kyela

Katika hali isiyokuwa ya kawaida nyani aina ya ngedere akiwa anakimbizwa kutoka sehemu nyingine kwenda sehemu nyingine gafla akikimbilia ndani na baadaye kumjeruhi mtoto. Na Masud Maulid nyani aliyekuwa anakimbizwa na watoto maeneo ya Majoka wialayni kyela  ameingia ndani ya…

8 March 2024, 11:24 am

Zaidi ya milioni 3 kukarabati shule Rungwe

Shule ya msingi Katumba one ni shule iliyojengwa miaka 50 iliyopita na kutumika bila kufanyiwa ukarabati wowote, hatimaye sasa inakwenda kukarabatiwa kwa ufadhili wa mbunge. Na Bahati Obel Mbunge wa jimbo la Rungwe Anton Mwantona amekabidhi msaada wa bati 108…