Radio Tadio

Habari za Jumla

19 September 2024, 7:52 pm

Serikali yahimiza klabu za maadili shuleni

Kuwalea watoto katika malezi mema imetajwa kujenga kizazi bora na chenye maadili ambacho kitafuata mila na desturi la taifa letu. Na Mindi Joseph Moja ya jukumu la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kukuza maadili kwa watoto jukumu…

19 September 2024, 1:38 pm

UWT Sengerema wapata mwenyekiti mpya

Jumuiya ya umoja wa wanawake CCM (UWT) Wilaya ya Sengerema imefanya uchaguzi wa kumpata mwenyekiti mpya kufuatia kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Jane Msoga aliyefariki Dunia April 30, 2024 wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Mkoa wa Mwanza, Sekou…

17 September 2024, 8:59 pm

Chemba siyo sehemu ya utafutaji dada wa kazi

Upo utamaduni uliojengeka miongoni jamii kuwa Wilaya ya Chemba kuwa ni sehemu ya kutafuta wadada wa kazi Na Leonard Mwacha Upo utamaduni uliojengeka miongoni jamii kuwa Wilaya ya Chemba kuwa ni sehemu ya kutafuta wadada wa kazi kutokana na sababu…

16 September 2024, 7:00 pm

World Vision yawapiga msasa wajumbe wa kamati ya maafa Maswa

“Katika kukabiliana na maafa mbalimbali hapa nchini shirika lisilo la kiserikali la World vision limeendesha mafunzo kwa kamati za maafa ili kuongeza ufanisi wa kiutendaji wakati ,kabla na baada ya maafa”. Na, Daniel Manyanga Kamati za Maafa za wilaya zimetakiwa…

16 September 2024, 6:12 pm

BAKWATA yaibuka na matukio ya utekaji na mauaji nchini

Kutokana na uwepo wa matukio ya watu kutekwa na wengine kuuawa makundi mbalimbali katika jamii yanalaani juu ya matukio hayo ikiwemo viongozi wa dini. Na Mrisho Sadick: Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA limelaani vikali matukio ya utekaji na mauaji…

11 September 2024, 7:38 pm

Virusi vya homa ya ini ni hatari kuliko VVU

Virusi vya ugonjwa wa homa ya ini ni rahisi kuambukizwa kutoka kwa mtu mwenye maambukizi hadi mwingine na kuleta madhara kwa muda mfupi kuliko VVU Na Yusuph Hassan. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya nchini inakadiriwa kiwango cha ushamiri wa…