Radio Tadio

Habari za Jumla

25 April 2024, 14:49

Wanachuo Kasulu wakosa vifaa vya kujifunzia

Serikali imeombwa kusaidia kutatua changamoto ya ukosefu wa vifaa vya kujifunzia wanafunzi wa chuo cha ualimu kaslu Mkoani Kigoma. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Chuo cha Ualimu Kasulu (Kasulu TTC) kilichopo halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma kinakabiliwa na changamoto…

25 April 2024, 1:49 am

Dsw kuimarisha mifumo ya kuzuia ukatili wa kijinsia

ili kukabiliana na vitendo ya ukatili wa kijinsia kwa watoto jamii imetakiwa kuwa mstari wa mbele kutoa tarifa kwenye vyombo vya kisheria. MBEYA Na Lennox Mwamakula Shirika lisilo la kiserikali la DSW Tanzania linalojihusisha na masuala ya maendeleo Kwa vijana…

24 April 2024, 19:42 pm

CSK: watoa elimu ya ukatili Mtwara vijijini

Matukio ya ukatili wa kijinsia umekuwa ukitokea katika maeneo mbalimbali ya wilayani Mtwara hivyo ndio sababu iliyotufanya kuja kutoa elimu hapa katika Kijiji cha Nanguruwe. Na Gregory Milanzi Shirika lisilo la kiserikali la utafiti (CSK) kwa kushirikiana na Jeshi la…

24 April 2024, 15:02

Ujasiriamali kuwaponza walimu Kibondo

Baadhi ya walimu katika shule ya msingi Boma wilayani Kibondo mkoani Kigoma kwa kushirikiana na kamati ya shule hiyo wanatuhumiwa kuwazuwia wajasiliamali wadogo kuuza bidhaa zao kando na shule hiyo na badala yake walimu ndio wamegeuka wafanyabiashara badala ya kufundisha…

23 April 2024, 17:20 pm

Vijiji 52 Mvomero kunufaika na mradi wa LTIP

lengo ni kuandaa jumla ya Mipango Shirikishi ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji 52 katika Wilaya ya Mvomero ambapo hadi kufikia sasa tayari mipango 48 imekwishaandaliwa Na Mwandishi Wetu Vijiji takribani 52 katika Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro vitanufaika na…

23 April 2024, 4:08 pm

Wasichana 21,094 kupatiwa chanjo ya HPV Rungwe

Halmshauri ya wilaya ya Rungwe imekusudia kuwalinda watoto wa kike wenye umri wa kuanzia miaka 9-14 kwa kuwapatia chanjo ya kupambana na saratani ya mlango wa kizazi (HPV) Na Judith Mwakibibi Mkuu wa wilaya ya Rungwe Jaffar Haniu amewataka maafisa…