Radio Tadio

Habari za Jumla

06/01/2021, 10:14

Wananchi wametakiwa kutunza na kuhifadhi mazingira

Akizungumza na Radio Jamii Kilosa Januari 6 ,2021 Afisa Mazingira Bwana Anthony Heriel Mbise amesema kuwa ni vyema wananchi wakatumia mvua zinazo endelea kunyesha kipindi hiki kupanda Miti na Maua. Amesema kuwa Maua yanasaidia kupendezesha mazingira yanayo zunguuka na Miti…

05/01/2021, 15:21

Wananchi Chilonwa waomba kukarabatiwa daraja

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Wakazi wa kijiji cha Mahama Kata ya Chilonwa Wilayani Chamwino wameiomba Serikali kufanya ukarabati wa daraja lililopo kati ya kijiji cha mahama na Nzali ili kuondoa adha ya usafiri wanayokutana nayo kipindi cha mvua za masika.Wakizungumza na…

22/12/2020, 12:41

Uhaba wa mbegu za maboga wapunguza matumizi

Na,Timotheo Chiume, Dodoma. Upatikanaji mdogo wa mbegu za maboga jijini Dodoma umezifanya kutotumiwa kwa wingi na watu wanaozihitaji kwa ajili ya chakula na lishe.Pamoja na changamoto hiyo uhitaji na watumiaji wanaongezeka kila siku kutokana na kutambua faida zitokanazo na mbegu…

22/12/2020, 12:23

Waiomba Serikali kuwatengenezea mazingira rafiki

Na,Thadey Tesha, Dodoma Baadhi ya wafanyabiashara wa kuku katika soko la Changombe jijini hapa wameiomba  Serikali kuwatengenezea mazingira rafiki ya kuuzia bidhaa zao kutokana na eneo lililopo kutotosheleza mahitaji. Wakizungumza na Taswira ya habari wafanyabiashara hao wamesema kwa sasa mazingira…

19/12/2020, 07:20

Abdulaziz Makame kuondoka Yanga

Dar es Salaama. KIUNGO mkabaji wa Klabu ya Yanga Abdulaziz Makame yupo kwenye mpango wa kutua kwa mkopo ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania.  Taarifa zinadai kuwa mpaka sasa ni timu mbili zinahitaji kupata huduma yake ikiwa ni Polisi Tanzania …

18/12/2020, 15:52

Adha ya maji Matumbulu kuwa Historia

Na, Benard Filbert, Dodoma. Ili kuondokana na changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Matumbulu Mkoani Dodoma Serikali imeelekeza nguvu zake katika kutatua adha hiyo ili kuleta unafuu kwa wananchi.Akizungumza na taswira ya habari afisa mtendaji wa Kata hiyo…