Habari za Jumla
8 Disemba 2020, 7:55 mu
Baloteli ajiunga na Monza ya daraja la pili Italia
Monza, Italia. Mshambuliaji wa Kimataifa wa Italia, Mario Balotelli ambaye amekuwa bila klabu tangu majira ya joto, Sasa anarejea Katika Soka akijiunga na klabu cha daraja la pili huko Italia AC Monza inayomilikiwa na Silvio Berlusconi na Adriano Galliani. Klabu…
7 Disemba 2020, 5:14 um
Wanaume kukosa ujasiri wa kuripoti matukio ya Ukatili unaowakabili
Miongoni mwa sababu zinazotajwa na kupelekea wanaume kushindwa kufikisha taarifa za kufanyiwa ukatili katika vyombo vinavyohusika ni pamoja na uwepo wa Mtazamo Hasi na uwoga wa kudharirika iwapo jamii itabaini suala hilo Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha mnadani Mkurugenzi…
7 Disemba 2020, 12:51 um
Africa CDC:Idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona yakaribia milioni 2.25
Adis Ababa, Ethiopia. Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) kimesema hadi kufikia Jumapili alasiri, idadi ya jumla ya maambukizi yaliyothibitishwa ya virusi vya Corona barani humo imekaribia milioni 2.25, huku idadi ya vifo ikifikia 53,543. Kwa…
7 Disemba 2020, 10:16 mu
Mbabe wa simba apigwa na Yanga
Yanga yaendelea kua timu pekee ligi kuu ambayo mpaka sasa haija poteza mchezo hata mmja hii baada ya kuifunga ruvu shooting goli mbili dhidi ya moja katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Mkapa jijini dar-es-saalamKocha wa Yanga, Cedric Kaze anasema…
7 Disemba 2020, 9:06 mu
Ntibazonkiza aishuhudia Yanga ikiondoka na pointi tatu
Dar Es Salaam. Mshambuliaji mpya wa klabu ya soka ya Yanga Said Ntibazonkiza hapo jana alikaa jukwaani kuishuhudia timu yake ikiibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting. Ntibazonkiza anatarajia kuanza kuitumikia Yanga kuanzia Sesemba 15…
5 Disemba 2020, 10:50 mu
Vieira atimuliwa Nice
Nice, Ufaransa. Klabu ya Nice imemfuta kazi kiungo wa zamani wa Ufaransa na Arsenal, Patrick Vieira kama kocha wao Mkuu baada ya miaka miwili na nusu ndani ya Klabu hiyo ya Ligue 1.Klabu hiyo ya Ufaransa imepoteza michezo mitano mfululizo,…
4 Disemba 2020, 10:33 mu
Bozizé akosa sifa ya kuwania Urais C.A.R
Bangui, C.A.R. Mahakama ya Katiba imethibitisha uamuzi wa Tume huru ya uchaguzi nchini humo kuwa rais wa zamani wa nchi hiyo François Bozizé , hana nafasi ya kuwania urais katika uchaguzi wa Desemba 27 nchini humo. François Bozizé anashtumiwa kwa…
4 Disemba 2020, 9:43 mu
Gwiji wa Manchester United Gary Neville ailaumu FA
Manchester, England. Gwiji wa Manchester United Gary Neville ametoa wito kwa chama cha soka England FA kutoa mafunzo maalum kwa wachezaji wanaohamia kucheza katika klabu mbalimbali za ligi kuu ya primia huku akilaumu chama hicho kwa kutofanya hivyo. Kauli ya…
4 Disemba 2020, 8:25 mu
Dodoma Jiji Fc yajipanga kibabe kuwakabili KMC leo
Kocha Msaidizi wa Dodoma Jiji FC Renatus Shija amesema watatumia dirisha dogo la usajili kuboresha baadhi ya nafasi katika kikosi chao ambazo zimeonekana kupwaya. Shija ambaye timu yake itashuka dimbani hii leo kuvaana na KMC Fc katika dimba la Uhuru…
4 Disemba 2020, 8:07 mu
Barcelona hali tete kiuchumi
Barcelona, Hispania. Rais wa mpito wa klabu ya Barcelona Carlos Tusquets ameonya kuwa hali ya kifedha kwa sasa ni mbaya na inatia wasiwasi. Kiongozi huyo aliyechukua mahala pa Josep Maria Bartomeu aliyejiuzulu mwezi Oktoba amesema klabu inapaswa ingekuwa imemuuza Messi.…