Radio Tadio

Habari za Jumla

19 Febuari 2021, 10:17 MU

PRINCE Dube,Azam FC, ATUPIA TENA

PRINCE Dube, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC, usiku wa kuamkia leo amepachika bao lake la 7 ndani ya ardhi ya Bongo akiwa ni kinara wa utupiaji ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na George Lwandamina.  Alifunga bao…

19 Febuari 2021, 10:14 MU

Waarabu wapigiwa hesabu kali na Simba kwa Mkapa

 SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba, amesema kuwa wapinzani wao wote ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa pamoja na Al Ahly wameandaliwa dozi zao pale watakapokutana ndani ya uwanja. Simba ikiwa Kundi A kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada…

19 Febuari 2021, 9:56 MU

Mabalozi ‘Wamlilia’ Maalim Sief Sharif Hamad

Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, ‘wamemlilia’ Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na kumuelezea kwa mema aliyoyafanya enzi za uhai wake hapa duniani. Mabalozi hao wamewasili katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar…

17 Febuari 2021, 1:31 um

80 wakosa masomo Chamwino kwa uhaba wa madarasa

Na, Benard Filbert, Dodoma. Zaidi ya wanafunzi 80 wa kidato cha kwanza mwaka 2021 wameshindwa kuripoti shuleni, kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa uliyopo katika shule ya Sekondari Membe Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma. Hayo yameelezwa na Diwani wa…