Radio Tadio

Habari za Jumla

18/03/2021, 09:50

Watanzania waaswa kuendelea kuliombea Taifa

Na, Mariam Kasawa. Watanzania  wametakiwa kuendelea kumuomba Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu  ili kuliwezesha Taifa kusonga mbele. Hayo yamesemwa na mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo leo wakati akitoa salamu za pole…

18/03/2021, 07:51

Watanzania wamlilia Rais Dkt.Magufuli

Na, Mariam Kasawa. Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha Rais Dr John Pombe Magufuli kilichotokea Machi 17 2021. Akithibitisha kifo hicho makamu wa rais Samia Suluhu amesema kwamba rais Magufuli alianza kuugua mnamo tarehe 6 mwezi Machi…

17/03/2021, 14:09

Baadhi ya sekta kuokoka na marufuku ya vifungashio vya plastiki.

NA MARIAM MATUNDU Afisa mazingira kutoka ofisi ya makamu wa rais Muungano na Mazingira Anamaria Gerome amesema kutokana na hilo baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu wametumia nafasi hiyo kutengeneza vifungashio vya plastiki  ambavyo vinatumika kama vibebeo. Amesema mchakato wa kutafuta…

17/03/2021, 13:47

Jiji laboresha miundombinu ya maji

Na, Alfred Bulahya, Dodoma. Halmashauri ya jiji la Dodoma imetenga fedha kiasi cha shilingi bilioni 1 kwaajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya maji na barabara ndani ya jiji. Fedha hizo zimetengwa kupitia bajeti ya mwaka 2021/2022 wakati wa…

17/03/2021, 13:39

Dodoma Jiji yaikabili Biashara

Na Matereka Junior Wakati ligi kuu bara ikiwa imesimama kupisha timu ya Taifa iliyopo Kenya kujiandaa na mechi za kufuzu mataifa Afrika, AFCON, Ligi ya timu za vijana wa chini ya miaka 20 za timu zote za ligi kuu inashika…