Habari za Jumla
6 March 2021, 13:54 pm
TANESCO Mtwara wapewa siku 10 kukarabati mitambo ya kufua umeme
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ametoa agizo la kuhakikisha ndani ya siku 10 mashine mbili za kufua na kuzalisha umeme wa gesi asilia zinakamilika ili kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa Mtwara na Lindi. Waziri Kalemani ametoa agizo…
5 March 2021, 1:28 pm
Halmashauri yahamisha mnada wa Msalato
Na, Shani Nicholous, Dodoma. Halmashauri ya jiji la Dodoma imepanga kuuhamishia mnada wa Msalato pembezoni mwa Soko la Jobu Ndugai lililopo Kata ya Nzuguni. Mpango huo umepangwa kutekelezwa kabla ya nusu ya mwaka huu ambapo mnada huo unatarajiwa kuanzia juma…
5 March 2021, 1:14 pm
Wananchi Makulu wachekelea umeme wa REA
Na,Victor Chigwada, Dodoma. Wananchi wa Kata ya Dodoma Makulu jijini Dodoma wameishukuru Serikali kwa kufanikisha kusambaza umeme kupitia mpango wa umeme Vijijini REA, kwani kwa sasa huduma hiyo imefikia idadi kubwa ya kaya. Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya…
4 March 2021, 3:08 PM
Kipindi cha jamii yetu, unyanyasaji wa kijinsia
4 March 2021, 9:51 am
Jamii yasisitizwa kuendelea kuchukua tahadhari .
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ameonyesha kuridhishwa kwake na utendaji kazi wa kitengo kinachosimamia utekelezaji wa afua mbalimbali katika kitengo cha magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwa namna ambavyo kimekuwa kikifanya majukumu yake na kutoa mrejesho chanya katika utekelezaji…
4 March 2021, 4:12 AM
TAASISI ya (TaTeDo) kwa kushirikiana na Shirika la WWf watoa mafunzo wajasiliam…
TAASISI ya kuendeleza Nishati Asili Tanzania (TaTeDo) kwa kushirikiana na Shirika la WWF wameanza kutoa mafunzo kwa wajasiliamali wadogo wanawake zaidi ya 20 kutoka katika vikundi 10 wilayani Masasi mkoani Mtwara ya kuwajengea uwezo wa umuhimu wa matumizi bora ya…
4 March 2021, 4:07 AM
MBUNGE wa Jimbo la Masasi, Geofrey Mwambe ametoa vifaa ya Michezo Klabu ya mpir…
MBUNGE wa Jimbo la Masasi, Geofrey Mwambe ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara amewapatia vifaa mbalimbali vya Michezo Klabu ya mpira wa miguu ya Mkuti Makerti ya mjini Masasi ambapo Timu hiyo kwa sasa ndio imefanikiwa kuwa Bingwa…
3 March 2021, 11:44 AM
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji Masasi wamepitisha Rasimu ya Mpango wa…
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara wamepitisha Rasimu ya Mpango wa Bajeti kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 yenye Makadirio ya Mapato na Matumizi yenye thamani ya Sh.bilioni 19,651,959, 451.00 Bajeti hiyo wamepitisha jana ,Machi 2/2021 katika…
2 March 2021, 1:41 pm
Wakulima Kondoa wanufaika na taarifa za hali ya hewa
Na, Benard Filbert, Dodoma. Imeelezwa kuwa baada ya Halmashauri ya Mji wa Kondoa kuunganishwa katika mfumo wa taarifa wa mamlaka ya hali ya hewa nchini imesaidia wakulima kuendesha shughuli zao kuendana na mabadiliko ya hali ya hewa. Hayo yameelezwa na…
2 March 2021, 1:25 pm
Ole Gabriel:Elimu juu ya thamani ya mazao ya mifugo bado tatizo
Na, Mariamu Matundu, Dodoma. Serikali imesema licha ya kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa minyororo mitano ya thamani ya mazao ya mifugo, bado Jamii imeendelea kupata changamato katika mnyororo wa mtaji watu pamoja na gharama. Hayo yamesemwa na katibu…