Habari za Jumla
23 Machi 2021, 18:05 um
Naliendele Mtwara wamlilia Hayati Magufuli
Wananchi wa kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara Mikindani wametoa salamu za pole kwa Watanzani kufuatia kifo cha Rais Dkt.John Pombe Magufuli kilichotangazwa usiku wa kuamkia leo Machi 18,2021. Wakizungumza kwa masikitiko makubwa wameeleza namna ambavyo watamkumbuka Rais Dkt.Magufuli kwa…
23 Machi 2021, 11:36 mu
Bendera za UN kupepea nusu mlingoti
Na; Mariam Kasawa. Umoja wa Mataifa (UN) umesema Bendera ya Umoja huo itapepea nusu mlingoti katika Ofisi za Makao Makuu jijini New York Nchini Marekani. Bendera hiyo itapepea Machi 26, 2021 ili kumuenzi Rais John Magufuli ambaye atazikwa siku hiyo…
23 Machi 2021, 10:24 mu
Udugu na Umoja wadhihirika Zanzibar leo
Na; Mariam Kasawa Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Dkt.John Magufuli utalala Ikulu Zanzibar leo Jumanne Machi 23, 2021 na kesho asubuhi utapelekwa Mkoani Mwanza. Hayo yameelezwa leo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokuwa kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar…
23 Machi 2021, 9:22 MU
MKUU Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara., Selemani Mzee asaini kitabu cha maombolezo
MKUU Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara., Selemani Mzee akisaini kitabu cha Kumbumbuku ya maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais Dkt. John Magufuli kilichotokea Machi, 17 mwaka huu, kitabu hicho cha maombelezo hayo kimefunguliwa kkatika ofisi ya mkuu ya wilaya ya…
23 Machi 2021, 9:12 MU
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi-CCM Wilaya ya Masasi wamlilia Rais Dkt. John Po…
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi-CCM Wilaya ya Masasi wamlilia Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kueleza kuwa taifa limepoteza kiongozi shujaa na mpenda maendeleo na kwamba alikuwa ni mtetezi wa wananchi wanyonge hivyo wataendelea kumkumbuka milele. Wanachama hao leo Mach,…
23 Machi 2021, 6:34 mu
Magufuli Alijenga Heshima ya Tanzania
Na; Mariam Kasawa. Imeelezwa kuwa, kufuatia Marekebisho yaliyofanywa katika Sheria ya Madini ambayo ni Matunda ya jitihada za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli yameifanya Tanzania iheshimike kimataifa. Hayo yamebainishwa…
23 Machi 2021, 6:23 mu
Buriani Magufuli Dodoma haitakuona tena
Na; Mariam Kasawa. Hatimaye zoezi la kuuaga mwili wa hayati Dkt. John Pombe Magufuli limekamilika Jijini Dodoma na sasa ni zamu ya Zanzibar. Leo Machi 23 2021 wananchi wa Zanzibar watapata nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho kwa rais…
22 Machi 2021, 12:50 um
Tanzania itamkumbuka daima Dkt. Magufuli kuwa shujaa na mkombozi
Na; Mariam Kasawa Viongozi mbalimbali walio hudhuria katika tukio la kumuaga Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wamemzungumzia kuwa alikuwa shujaa na mkombozi waTanzania, Afrika na Duniani. Wakizungumza katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Marais Walio hudhuria shughuli hiyo wamesema watamkumbuka…
22 Machi 2021, 8:57 mu
Matukio katika picha Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma
Na; Mariam Kasawa Viongozi mbalimbali wakiwa uwanja wa Jamhuri katika tukio la kuuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli. Zoezi la kumuaga Hayati Dkt. John Maguli likiwa linaendelea katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Dodoma. Wananchi wamekumbushwa kuendelea kujipanga pembezoni mwa…
22 Machi 2021, 7:55 mu
Ratiba ya kuaga Mwili wa Rais Magufuli Dodoma yabadilishwa
Na; Mariam Kasawa. Baada ya uongozi wa mkoa wa Dodoma kutambua hamu ya wakazi wa jiji hili ya kutamani kumuaga Hayati Dkt John Pombe Magufuli wameamua kuzunguka maeneo mbalimbali ili kila mwananchi aweze kushiriki zoezi hili. Akizungumza na waandishi wa…