Radio Tadio

Habari za Jumla

22/04/2021, 15:46

Rais Samia akusudia kukutana na viongozi wa kisiasa

Na; Mariam Kasawa. Rais Samia ameliambia Bunge kuwa anapanga kukutana na viongozi wa kisiasa ili kwa pamoja waweke msimamo wa kuendesha shughuli za kisiasa. Rais Samia amesema hayo wakati akitaja namna anavyopanga kuboresha mazingira ya uhuru na demokrasia nchini Tanzania.…

22/04/2021, 08:39

Watanzania wanatarajia nini kwenye hotuba ya Rais Samia ?

Na; Mariam Kasawa Rais Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuhutubia Bunge  katika hotuba itakayotoa mwelekeo wa nini hasa amepanga kutimiza katika muhula wake wa kwanza madarakani. Hii itakuwa ni mara yake ya kwanza kufanya hivyo tangu aapishwe kuwa Rais Machi…

Aprili 21, 2021, 5:08 um

Mchinjaji wa Nguruwe akamatwa na TAKUKURU Manispaa ya Kahama

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) wilayani Kahama imebaini uchinjaji wa mifugo kiholela ikiwemo iliyokufa hali ambayo inahatarisha afya za watumiaji wa nyama ambazo zinauzwa bila kufanyiwa uchunguzi na maafisa mifugo. Mkuu wa TAKUKURU, Abdallah Urari amesema walipokea…

21/04/2021, 12:24

MAMCU wafanya mkutano mkuu wa 21 wa mwaka

WAKULIMA wa Chama kikuu Cha Ushirika wa wakulima Masasi-Mtwara( MAMCU) hii leo April 21 – 2021 wanafanya mkutano mkuu wa 21 wa mwaka wenye lengo la kuchagua viongozi wa bodi wa Chama hicho ikiwemo kusoma mapato na matumizi.   Mkutano huo…