Radio Tadio

Habari za Jumla

20 Januari 2022, 10:31

Serengeti: Wamuua kikongwe kwa ahadi ya laki tano

Watu wanne akiwemo mwanamke mmoja wakazi wa kijiji cha Rigicha wanashikiliwa na Polisi wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya mauaji ya kikongwe kwa ahadi ya ujira wa sh500,000 wakimtuhumu kwa ushirikina. Hata hivyo taarifa za awali zinadai kwamba hadi wanakamatwa…

13 Januari 2022, 06:24

Watu 14 wamepoteza maisha wakiwemo wanahabari watano m

Watu 14 wamepoteza maisha wakiwemo wanahabari watano na abiria wa kawaida katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwa moja ni la abiria aina ya Toyota Hiace na jingine lenye namba za usajili STK 8140 mali ya Serikali lililokuwa limebeba waandishi wa…

Januari 12, 2022, 5:45 um

Manispaa ya Kahama wazindua Jukwaa la uwekezaji Wanawake kiuchumi

Jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga limezinduliwa leo lengo likiwa kuwazesha wanawake katika sekta mbalimbali za kiuchumi. Uzinduzi wa jukwaa hilo la wanawake kiuchumi umefanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Kahama ambapo mgeni rasmi akiwa katibu…

3 Januari 2022, 9:46 mu

Madarasa 24 yakamilikika kwa asilimia 100

RUNGWE-MBEYA Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Busokelo Bi, LOEMA PETER  amekabidhi takribani vyumba vya madarasa 24 kwa Mkuu wa wilaya ya Rungwe  baada ya kumalika ndani ya muda ulio pangwa. Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na kituo hiki huku akieleza…

29 Disemba 2021, 11:50 mu

WILAYA YA MASWA YATAJWA KUONGOZA KWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI …

Imeelezwa  kuwa  wilaya  ya  maswa  inaongoza  kwa  maambukizi  ya Virusi  ya  Ukimwi (VVU)   Ikifuatiwa  na  Wilaya  Busega  katika  mkoa   wa  Simiyu. Hayo  yameelezwa  na  Mratibbu  wa  Ukimwi  mkoa  wa  Simiyu   Dr  Hamis   Kulemba  wakati   akizungumza  na  Radio   Sibuka.            Dr …